Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda urais wa vyura ataupata
ayaaaa star tv na star tv wamekata lakini channel ten wako hewani..mmm anasema wananchi hawana imani na serikali ya kikwete ambayo yeye ni waziri
Anayoyasema yeye ndo short cut,ukizingatia jinsi umaskini uliyoilemea Tanzania,kwa miaka mitano kufanya yote hayo ni uongo tena uongo mkubwa sanaHiyo ni mikakati katika kuijenga TANZANIA mmpya ,muachane na kupenda njia za shortcut huyu ndiiye atakayetuvusha ....
Na wewe unaamini mwaka 2010 Dr.Slaa alishinda urais Usalama wa Taifa wakaiba kura zake?Uwa una hoja mfu sana,
Nijibu haya, DR slaa amegombea mara ngapi Uraisi wa Tanzania?
Labda unasahau ndio tayizo la CCM wagumu kuelewa, wepesi kusahau, makada kama Mwandosya, Lowasa mara ngapi wamewania nafasi ya Urais ndani ya CCM?
Acha siasa mfu. Huyu Slaa ndie anae waumiza kichwa.
Mwaka 2010 aliposhinda, ilibidi wagombea baadhi wa urais watoe kura zao kumuokoa Kikwe.
Kadi za kualika watu katika Uapishaji wa Rais ilibd zisimamishwe kwa Muda wa set mambo maana watanzania walishamtema kikwe.
Leo hakuna ndani ya ccm asiejua hatari inayoikabiri CCM mwaka huu, maana kama 2010 iliwezekana kwann mwaka huu ambao upepo unaonesha watu wengi hawaiungi mkono CCM ushindikane?
Na hapohapo zingatia kwaka 2010 tulikuwa tunazungumzia Chadema Leo tunazungumza Habari Za UKAWA.
Brother tuache siasa za mitandaoni, jiandaeni kisaikolojia. Mako Nyerere anasema Site Mambo Yamebadilika.
Na wewe unaamini mwaka 2010 Dr.Slaa alishinda urais Usalama wa Taifa wakaiba kura zake?
Samahani kwani Padri kagombea urais Mara ngapi?.
Anayoyasema yeye ndo short cut,ukizingatia jinsi umaskini uliyoilemea Tanzania,kwa miaka mitano kufanya yote hayo ni uongo tena uongo mkubwa sana
Huyu.makamba ni.sifuri kuliko lowasa
Mkuu mbona unareason ndogo sana ya kumtambua mtu anaefaa kuwa rais wa nchi hii?? hakuna ya ziada!vyanzo vya mapato ya ziada ya january makamba bila kuzungumzia gesi huyu jamaa anafaa kuwa raisiView attachment 258229
Mwambie pro-Chadema yeyote ajitokeze kutia nia kama ajafukuzwa kama panya ni marufuku kumpingana na fikra za Dr.Slaa na Mbowe.