Nampongeza hapo kwenye kujenga njia ya reli za usafiri wa ndani Dar,hapo kweli katoa idea nzuri tena sana.
Kwa hiyo kumbe alikuwa anasoma kwenye teleprompter ila baadhi ya watu hawajui?
Na amekula sana milioni 10 kumi za kumuona rais ikulu.
»Yule shemeji yake wa ABG walimfanya mbaya sana.
»Kasharudisha cheti cha watu cha form 4?
sawa team mamvi
..LOL!!
..Wabongo walitaka kuniua nilipowabishia kwamba hotuba ya Obama alikuwa haitoi bila kusoma.
Kwani yeye anasimamia sera za chama gani?? Yupo wa kukariri hotuba kichwani?ndio maana nimesema kwa sera, sijasema anavyoenda kuzitekeleza!huyo unautaka HAYUPO.
UKAWA wanaendelea kupata pigo kila mgombea wa CCM ni moto ....