Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Watangaza nia wote wa ccm wanalalamika yaleyale ambayo wapinzan huwa wanalalamika bungeni na wao wanakuwa wanakejeli
 
Hata kabla ya kumaliza hotuba, teknolojia aliyokuwa akiinadi ataitumia tayari imepata kwikwi.
 
ni mtazamo wangu,
Je? mtu ambaye kwa makusudi mazima anabana Uhuru WA vyombo vya habari mapema namna hii /

Reflect what type of person is it?


Dictator!!!
 
He got into a personal problem with me alipoleta sheria ya cybercrime. **** him!
 
Nampongeza hapo kwenye kujenga njia ya reli za usafiri wa ndani Dar,hapo kweli katoa idea nzuri tena sana.

ukisoma kitabu chake kilichoandikwa na PD karugendo maswali yote hayo yamo na Majibu yake....kwa maana nyingine wauliza maswali wamepangwa
 
Kigwangala kuhusu rushwa na ufisadi alikuwa very clear

Takukuru, CAG, tume ya maadili wakichunguza wanapeleka mojakwamoja mahakani na mahakama itwajibika kwa muda mfupi kutowa haki na sio polisi na ddp
 
Nataka kujua huyu January Makamba amesemaje kuhusu uhuru wa kupata habari. Nakumbuka alikuwa mstari wa mbele sana katika kupata habari.
 
Bado natamani sana kujua viongozi wa nchi yetu wanachaguliwa kwa kigezo gani linapokuja suala la uwezo binafsi wa akili. . . . . .
 
Hawa mawaziri wanaoogombea tukisema wanamhujumu jaa kaaya tutakua tumekosea....mikakati kibao jukwaa la kutekeleza wanalo
 
UKAWA wanaendelea kupata pigo kila mgombea wa CCM ni moto ....
 
Na amekula sana milioni 10 kumi za kumuona rais ikulu.
»Yule shemeji yake wa ABG walimfanya mbaya sana.
»Kasharudisha cheti cha watu cha form 4?

Nasikia alitangazwa kama mwizi wa mitihani ya F.4! Jamani! Yes! na kweli unaweza ukaona upungufu ktk ufahamu wake ni mukubwa.
 
Halafu kupambana na rushwa....ikiwa wanashindwa kuimaliza kwenye chama mpaka wanaitana vibaka....ndio wataimaliza kwenye nchi
 
..LOL!!

..Wabongo walitaka kuniua nilipowabishia kwamba hotuba ya Obama alikuwa haitoi bila kusoma.

Mpaka leo wapo wengi tu mbona ambao wanaamini kuwa Obama huwa hasomi hotuba zake.

Na wanaamini kuwa hata wasoma habari wa kwenye runinga huwa hawasomi popote pale wakiwa wanatangaza habari.

Tatizo la wabongo wengi ni si watu wa kupenda kujifunza mambo na kutafuta ukweli.

Ndo maana ni rahisi sana kuwadanganya kwamba Januari hakuwa anasoma popote pale hotuba yake (mimi sina uhakika kama alikuwa anasoma au la) ilhali yawezekana alikuwa akiisoma kwenye teleprompter.
 
Wakati mwingine watu wakubali tu January leo kaja kivingine kabisa ukilinganisha na porojo za wengi wa awali this is what politics is all about maelezo na mbinu zake kinaga ubaga.

Issue labda je mbinu zenyewe ni sahihi au zinatekelezeka given the resources: lakini overall ameweka new bars in terms of the politics of policies. Aina maana mbinu zake zote are convincing to every one; over all big up January.
 
Back
Top Bottom