Victorie heshima kitu muhimu sana, ukimuita January kilaza basi akina Mbowe utawaitaje?kuna wabunge wachache sana walio kichwa kama Makamba.
Na tofauti na Makamba na wengi ata waliosoma ni kuwa wao hawasomi tena wakati Makamba anasoma kila siku.
Makamba ni kichwa, hayo ya utekelezaji ni suaka lingine lakin kwenye nadharia ukitaka idea kamuone Makamba.Kasheheheni.
Victorie heshima kitu muhimu sana, ukimuita January kilaza basi akina Mbowe utawaitaje?kuna wabunge wachache sana walio kichwa kama Makamba.
Na tofauti na Makamba na wengi ata waliosoma ni kuwa wao hawasomi tena wakati Makamba anasoma kila siku.
Makamba ni kichwa, hayo ya utekelezaji ni suaka lingine lakin kwenye nadharia ukitaka idea kamuone Makamba.Huwezi kuona tofauti ya ufahamu wa Makamba ata na wanasiasa wa nchi zilizoendelea, yupo kamili na yupo updated na elimu, falsafa, ideas mbalimbali za siasa na utawala duniani.
Tatizo letu siyo yupi anaweza kumeza nondo bila kusoma...tunataka mtu akataye simamia rasilimali za taifa hili ziweze kutusukuma katika maendeleo na kutunufaisha kila mmoja kwa namna yake.
Alikuwa anasoma kwa kutumia TelePrompter.
Hata hivyo CCM ni waongo tu
Alikuwa anasoma kwa kutumia TelePrompter.
Hata hivyo CCM ni waongo tu
Anhaaa kumbe alikuwa akiisoma kwenye prompter ila baadhi ya watu wamezugika kuwa alikuwa hasomi?
Kaazi kweli kweli.
Yaani kuna Watu wanaamini alikuwa anaongea bila kusoma!!!
Mwaka 2005 yeye ni miongoni waliomshauri JK atumie mfumo huo kuhutubia bunge kwa Mara ya kwanza.
Nilikuwepo ukumbini Mlimani City...wewe ulikuwa wapi wakati anahutubia?
Kama hiyo ya Makamba kueleza nini atafanya bila kusoma imewakeleketa sana, basi ndio mjue hao ndio aina ya viongozi ambao wapo CCM....sio kama waliofeli shule wa huko UKAWA
Alikuwa anasoma kwenye teleprompter au alikuwa hasomi?
Yawezekana hata hiyo prompter haijui kiongozi. Utakuwa unamuonea kwa swali hilo.
Alikuwa anasoma kwenye teleprompter au alikuwa hasomi?