Hapana unamuonea bure Victoirie anasema kweli.
January kilaza mkubwa mbona alikuwa ikulu na mmoja wa memba baraza la mawaziri, hayo ayasemayo mbona asiyafanye ikiwa anauwezo kichwani?
January kilaza mkubwa mbona alikuwa ikulu na mmoja wa memba baraza la mawaziri, hayo ayasemayo mbona asiyafanye ikiwa anauwezo kichwani?
Victorie heshima kitu muhimu sana, ukimuita January kilaza basi akina Mbowe utawaitaje?kuna wabunge wachache sana walio kichwa kama Makamba.
Na tofauti na Makamba na wengi ata waliosoma ni kuwa wao hawasomi tena wakati Makamba anasoma kila siku.
Makamba ni kichwa, hayo ya utekelezaji ni suaka lingine lakin kwenye nadharia ukitaka idea kamuone Makamba.Kasheheheni.