Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Aeleze kwanza saabu za kufutwa.matokeo yake

aje tena na hotuba...aje na vyeti vyake halali tutaendelea kumsikiliza
 
Hivi hawa watia nia wakiwekewa mdahalo na Idadi yao kuwa kubwa 25+ si tutakesha hata siku 3 kwa maswali mawili.

Kuhusu hotuba ya kijana wenzangu mmhh bado ajipange bado muda labda miaka ijayo maana hata MB tu zimekuwa 8. Hayo mengine ni makubwa sana kwake abaki na level ya ubunge na unaibu kwanza.
HARAKA ZA NINI JM
 
Hamy- D
Wewe nj mpuuzi kama huyo dogo unayemshobokea.Kumbe nawe unatoka kule wasiojua kusoma na kuandika. Acha upuuzi
.
 
Eti faida ya gesi itapatikana baada ya 25 years.Akamweleze babake ujinga kama huo . Kwani hayo masongas na maupupu mengine yanatumia gesi ya vyoo vya babake ? Nyambaf
 
bado speech yake haijajitosheleza kwa mtu ambaye anataka kugombea uraisi
 
Mkuu, ukisikia watu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii, ndio kina nyinyi!. Umemsikiliza Januari lakini kumbe hukusikia alichosema, amesema itatuchukua miaka zaidi kumi kuifanya Tanzania kuwa ni nchi ya uchumi wa g6esi!, Januari ni realist na very practical kwamba usiwape watu matumaini hewa ya Tanzania kugeuka peponi chini ya miaka 10!, haimaanishgi gesi haijaanza kutumika bali itatuchukua miaka zaidi ya 10 kwa effects za gesi kuleta tofauti kwenye uchumi wetu kwa sababu ili faida iweze kuonekana ni kwanza ile investiment iliyokuwa injected irudi!.

Watanzania tunabidi tuelimishwe sana hii mikataba ya PSA inasema nini, vinginevyo kuendelea kuwapa watu matumaini hewa ni kuwajengea too much great expectations, wakikosa, wataishia kwenye too great disappointment na despair mwisho wa siku Mtwara na Lindi kutuleta Biafra yetu!.

Kipindi cha Mkapa, uchumi wetu ulikuwa kwa more than 6% ambacho ndicho kiwango cha WB cha ukuaji mzuri wa uchumi, jee mwananchi wa kawaida kabisa kule kijijini alipata impact yoyote ya ukuaji huo?!.

Kwenye gesi kila kitu tumekopa, tafuta muda kanisome hapa labda utaelewa!.
[h=3]Gesi asili: Is it "day light robbery?!"- Watanzania Tunaibiwa Mchana Kweupe!...
[/h]alichoogopa kusema January ni kuwa Watanzania walio wengi hatuwezi kuanza kufaidi matunda ya gesi, mpaka kwanza wenye fedha zao zirudi!.

Kwa vile vijiji vyote ambako bomba la gesi litapita, walitakiwa wawekewe matoleo ya kuanza kutumia nishati ya gesi badala ya kuni, lakini gesi kutoka Lindi, toleo ni Kinyerezi, hakuna hata kijiji kimoja kitakachotumia hiyo gesi bali umeme watapatiwa!.
Pasco
Khaa!! Pasco, unadhani hawakumuelewa? Walimuelewa vizuri sana ila wanataka kupotosha tu. Hii ndiyo JF ya maGTs
 
Anataka kuwafanya watz wamuone kama ana akili sana, kumbe empty head...
Anabakia zungumza vitu ambavyo hatoweza vitekeleza....huyo ni msindikizaji tu
 
Ewe mleta mada hii gas unayoiona inaletwa siyo ilyovumbulia leo na haina uwingi wa kuweza kusafirishwa nje na kuiletea nchi fedha za kigeni.

Kuvuna Gas kiutajiri ni kweli kabisa si chini ya miaka 10 kuanzia sasa.

Iliyovumbulia- iliyovumbuliwa
 
Ahadi hizi tamu tamu ni hatari. Kumbukeni ahadi za baba.. Haya ni yale yale ila upgraded. MISSION IMPOSSIBLE
 
Mkuu, ukisikia watu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii, ndio kina nyinyi!. Umemsikiliza Januari lakini kumbe hukusikia alichosema, amesema itatuchukua miaka zaidi kumi kuifanya Tanzania kuwa ni nchi ya uchumi wa gesi!, Januari ni realist na very practical kwamba usiwape watu matumaini hewa ya Tanzania kugeuka peponi chini ya miaka 10!, haimaanishgi gesi haijaanza kutumika bali itatuchukua miaka zaidi ya 10 kwa effects za gesi kuleta tofauti kwenye uchumi wetu kwa sababu ili faida iweze kuonekana ni kwanza ile investiment iliyokuwa injected irudi!.

Watanzania tunabidi tuelimishwe sana hii mikataba ya PSA inasema nini, vinginevyo kuendelea kuwapa watu matumaini hewa ni kuwajengea too much great expectations, wakikosa, wataishia kwenye too great disappointment na despair mwisho wa siku Mtwara na Lindi kutuleta Biafra yetu!.

Kipindi cha Mkapa, uchumi wetu ulikuwa kwa more than 6% ambacho ndicho kiwango cha WB cha ukuaji mzuri wa uchumi, jee mwananchi wa kawaida kabisa kule kijijini alipata impact yoyote ya ukuaji huo?!.

Kwenye gesi kila kitu tumekopa, tafuta muda kanisome hapa labda utaelewa!.
Gesi asili: Is it "day light robbery?!"- Watanzania Tunaibiwa Mchana Kweupe!...

alichoogopa kusema January ni kuwa Watanzania walio wengi hatuwezi kuanza kufaidi matunda ya gesi, mpaka kwanza wenye fedha zao zirudi!.

Kwa vile vijiji vyote ambako bomba la gesi litapita, walitakiwa wawekewe matoleo ya kuanza kutumia nishati ya gesi badala ya kuni, lakini gesi kutoka Lindi, toleo ni Kinyerezi, hakuna hata kijiji kimoja kitakachotumia hiyo gesi bali umeme watapatiwa!.
Pasco

sikuelewi unachoongea maana kufaidika kwa gesi hakutokani na uzalishaji tu ambapo naona nawe umejikita huko kumbuka uzalishaji ni moja tu ya hatua kuna zingine ambazo kama nchi ilibidi tumeshajipanga kuvuna lakini kwa sababu tuna wanasiasa wasio na vision hii ndio hasara yake. mimi naongea kama mtaalam wa energy maana ndio kazi yangu nitaanza na exploration hapa kuna pesa nyingi kama tungekuwa tumejipanga ktk seismic survey na air transportation, kuna appraisal hapa tungeweza kutengeneza pesa kwy drilling kwa kutumia vijana wetu kufanya core analysis both lab and physical, halafu kwy well completion pia kazi ni nyingi na vile vile stage ya pre development na development hapa ndipo almost 60% of CAPEX inapoishia. Makamba is wrong kwa sababu ameichukua Tanzania more like consumers badala ya participant wa Process nzima.
 
Nimemsikiliza Januari Makamba wakati akitangaza nia, amezungumza mambo mengi lakini ameharibu utamu wa hotuba hiyo kwa kusema uongo.

Makamba katika hotuba yake amesema itachukua miaka mingi hata kumi kwa Tanzania kuanza kuvuna gesi na rais ajaye anaweza akaondoka madarakani bado gesi haijaanza kutumika.

Huu ni uongo wa wazi ana pengine inaweza kuwa ni kutojua kwamba tayari gesi imeanza kutumika kwenye maeneo mengi ikiwemo kweye viwanda mbalimbali hususani kwenye jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo mengine kwenye majumba inatumika.

Namshangaa Januari anaposema gesi haitotumika kwa miaka ya karibu, anataka kutuambia hata mioundo mbinu ya gesi iliyojengwa itaanza kufanya kazi baada ya miaka kumi?

Namshauri aache kuzungumzia mambo ambayo hayajui na kama anatamani kuyazungumzia basi angeuliza kwa wataalamu wa masuala ya gesi kabla ya kufungua mdomo kuongea asiyoyajua.

Kwa mujibu wa wizara ya nishati na madini gesi itaanza kutumika miezi michache ijayo na tayari mabomba ya gesi yamekamilika kwa asilimia 90 na hata kiwanda cha DANGOTE kinachojengwa kitatumia gesi hiyo ambapo kiwanda hicho kitaanza uzalishaji mwezi wa nane kwa maana hiyo gesi itaanza kutumika kabla ya kiwanda hicho kuanza uzalishaji,

Nguvu kubwa kuja kumchafua january ya nn ameongea kuhusu tz kuwa na nchi ya uchumi wa gas i.e km russia hvi huwa kwnn mnapenda tu kuchukua mambo bila kuyajua vzuri bila kupambanua mna wikepidia mbn hamtumii. Kijana amejotahidi sana kueleborate mambo tena sana kudos to him
 
Gas inayotumika sasa ni ya songosongo akisema kuwa itachukua miaka 10 uchumi wetu kutegemea kwenye gas hiyo ni near to the truth. kwani mwingine anasema tutakuwa matajiri wakati bado tuna safari ndefu. Hatua iliyopo sasa ni utafiti wa gas unaendelea ila sio kitu cha kuweka kwenye uchumi wa Tanzania maana kufanya hivyo kutadumaza akili zetu wakati pato lenyewe hakuna. Kwasasa tuvifanyie kazi vilivyo huku mazingira mazuri yakiendelea kuwekwa kwenye gas. Jana January kaongea mambo mengi na mazuri sana
 
Ewe mleta mada hii gas unayoiona inaletwa siyo iliyovumbuliwa leo na haina uwingi wa kuweza kusafirishwa nje na kuiletea nchi fedha za kigeni.

Kuvuna Gas kiutajiri ni kweli kabisa si chini ya miaka 10 kuanzia sasa.

Tatizo mleta mada ameshindwaa kutofautisha gesi ya Songosongo na hii iliyovumbuliwa sasa, na kama anaelewa basi hizo ni chuki binafsi...
 
Songosongo iligunduliwa mwaka 1982 na ikaendelezwa mwaka 2004. Hii sa ss ipo kina kirefuuuu km 80 toka nchi kavu na km 4 toka juu ya maji. Mpk kuweka mabomba yote na kujenga mtambo wa kuisafisha. Gesi tutanza kutumia after 2025 nadhan

Asante sana Madcheda kwahiyo toka mwaka 1982 kwanini leo hii hatuna wataalam wa kutosha katika technical knowledge badala yake kampuni za kitanzania leo zinashiriki ktk biashara ya gas kama walinzi, wafuta meza na kuchimba mitaro kazi ambazo hazina Real economical impact ktk nchi ni kwa sababu ya kuwa na viongozi akina type ya makamba zero vision. kuwafikiri watanzania more consumers kwa kusubiri 10 yrs badala ya kupanga mikakati ya namna ya kunufaika kuanzia sasa.
 
Huyo January ni muongo, gas itaanza kuinufaisha Tanzania kuanzia kwenye umeme kwanza, halaf itumike viwandani na majumbani, halaf ndo ije kuuzwa, ni process, na kila process ina manufaa yake. Jamani msikilizeni muhongo, ndo maana alisema achaguliwe yeye kwa sababu wengine hawajui na watawadanganya kama huyu
 
Wewe unaongelea songo songo gas.
Lakini gas ilivumbuliwa sasa huko mtwara bado hata kuanza kuichimba bado.
Kuna kazi ya kutafuta wawekezeji kwanza

1.JPG

KITUO cha kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia cha Kinyerezi 1, kinatarajia kuanza kuzalisha umeme wa majaribio mwanzoni mwa mwakani, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi linalotoa gesi hiyo Mtwara hadi Dar es Salaam.
 
Gas inayotumika sasa ni ya songosongo akisema kuwa itachukua miaka 10 uchumi wetu kutegemea kwenye gas hiyo ni near to the truth. kwani mwingine anasema tutakuwa matajiri wakati bado tuna safari ndefu. Hatua iliyopo sasa ni utafiti wa gas unaendelea ila sio kitu cha kuweka kwenye uchumi wa Tanzania maana kufanya hivyo kutadumaza akili zetu wakati pato lenyewe hakuna. Kwasasa tuvifanyie kazi vilivyo huku mazingira mazuri yakiendelea kuwekwa kwenye gas. Jana January kaongea mambo mengi na mazuri sana

umesema kweli tuko kwenye exploration stage je unaweza kuniambia kwanini tusianze kunufaika nayo mpk 10 yrs from now wakati gas ya kwanza ilivumbuliwa mwaka 1982 kwanini tusubiri 10 years?? unless uwe na mtazamo mfupi kama makamba kwa kuiweka nchi kama consumers kuliko partcipant ktk process nzima kwa maana from the reservoir to refinery or residential.
 
Asante sana Madcheda kwahiyo toka mwaka 1982 kwanini leo hii hatuna wataalam wa kutosha katika technical knowledge badala yake kampuni za kitanzania leo zinashiriki ktk biashara ya gas kama walinzi, wafuta meza na kuchimba mitaro kazi ambazo hazina Real economical impact ktk nchi ni kwa sababu ya kuwa na viongozi akina type ya makamba zero vision. kuwafikiri watanzania more consumers kwa kusubiri 10 yrs badala ya kupanga mikakati ya namna ya kunufaika kuanzia sasa.

Kwa sababu tunaamini NGOZI NYEUPE itatuletea maendeleo..................
 
Back
Top Bottom