Nilichoona kwa Januari ni kitu cha kawaida kwa mtu yoyote ambaye ana simple exposure ya kuishi na kufuatilia siaza za dunia ya kwanza, Hakuna kipya sema kwa kibongobongo, unaweza sema watu hawajawahi ona at personal level.
Well argument yako pengine ina ukweli maana hata mimi sijawai sikia wanasiasa wakijitokeza kwa stahili aliyokuja nayo bwana Makamba; lakini nimeshakutana na hoja za kimaandishi walau zilizojikita ki-sector more justified kutoka kwa wasomi wa kitanzania kuliko overall argument presented na Makamba kwenye hoja zake.
Having said that siwezi kumuondelea the level of awareness and political depth demonstrated on his speech jamaa ame-cover all the necessary political issues kwa kuzigawa katika sehemu tano: power (utawala bora), state (Amani umoja na usalama wa taifa; jumlisha na usimamizi wa uchumi) mwishowe social life (mapato ya watu na uboreshaji wa huduma za watu).
Na vyote hivyo kavitolea ufafanuzi through Makamba-enomics, how he sees rights through the left-central spectrum in detailed explanations (siwezi kurudia speech yote but its worth noting his core arguments) you know what they say to understand value first you need to understand the worthiness of product huyu jamaa anasoma and he is very well informed the speech showed his depth of perception.
Sasa aina maana nakubaliana na kila alichosema or his ways are not questionable isitoshe mapungufu makubwa ya hotuba there were too many information but lacked clarity on the solution, hakuna cost za sera zake; not convinced with his approach to reduce embezzlement, realistic of his fiscal policies (you can give him the benefit of the doubt kwa sababu ya muda and boring his audience considering there was enough gist).
Kingine kwenye mambo ya usalama huko hayuko strong kabisa unaweza kuona ajajifunza chochote baada ya sakata la mahakama ya kadhi jinsi watu wa dini walivyo anza kutupiana vijembe; sasa hawa tena uwaweke serikarini showed anapwaya pia kwenye philosophy of building society; huko akina Membe wanamzidi.
Is this a bad thing?NO. It actually confirm the fact that, when keeping all factors constant, Tanzania needs to have a president who is below 45 years old and with good enough exposure and forward looking ideas.
That and more importantly wazee wameshindwa kuji- reinvent themselves to social awareness and current issues in politics.
Is January a capable person with what it takes to lead Tanzania? I still do not think so. I have always had a feeling he gets way too much help, and every time he is given an opportunity to stand by himself, he fails.
Help is one thing but also being able to see good advice requires a high level of perception so let's give him that he is capable of making the right decision either independently or with the help of others.
Is he the right person not sure if I am honest the entire youth clique already makes me a bit weary they lack the credibility of the most important factors uncompromising national security issues.
I will pick someone like Zitto over January Makamba any day, kwa sababu Zitto hapewi msaada, anasimama mwenyewe, and 90% of the time he walks the talk.
I only see him as the best trouble shooter than a presidential material he is not eclectic enough on his stances and philosophies to become a good leader: what evidence and persuasion does one need to know a highly socialist state fails to allocate resources appropriately with all the global evidences in existence. I rate Mwigulu above them all provided he is given the right advice he comes across as the most sincere .