January atatoa milioni hamsini kwa kila kijiji,jamani Tanzania tuna vijiji vingapi?January atawezesha vyuo viweze kukopesha wanafunzi,Huku akisema kunawili kwa nchi hakutegemei kodi za mapato,bali kunategemea kuwainua watanzania.sasa hizo pesa za kugawa kama pipi atattoa wapi kama hatokusanya kodi ipasavyo?
Anasoma mkuu, mtazame kwa umakini utagundua anaangalia sehemu moja sana.
mpanda hovyo ndiyo mla hovyo ,january amejipambanua wacheni atambeNaona wameanza na clips za kumpamba hapa.
Aibu....aibu,aibu mpaka mwisho. Hivi ccm hawana akili kiasi hiki? Hivi hawajui....... Hapana huu ujinga mwisho October. Mungu wape ujasili Wa kuachia nchi kwa ustarabu vinginevyo nchi ilipofika imevimba itapasuka kwenye kutangaza matokeo.
We wakuja fani za watu hizi unafikiri siku hizi watu wanasoma makaratasi kama lowassa.
Na hapo ndo alipomshinda wa mtama kajipanga vizuri hata uzushi haushtukiwi kabisa. Hafu wanapigana madongo wao kwa wao sijui ili iweje.
Mkuu!, unakumbuka songi la ndio mzee!. Prof Jay anaweza kutangazwa nabii wa siasa!.January hizi pesa za haya yote uliyoyasema utatowa wapi?umesema utawezesha vyuo kukopesha wanafunzi how jamani?mana kwa sasa vyuo vinategemea ada ndo kama income zao?
Huyu jamaa ukimuangalia anavyoongea tu unaona tu amekariri mambo.
kasema kunawiri kwa nchi hakutegemei kodi za mapato pekee
kasema kunawiri kwa nchi hakutegemei kodi za mapato pekee
Hata wewe wa kuja tu umekuja mjini hauna hata miaka mitano mjini kutoka Morogoro halafu unatakiwa uniheshimu mimi shemeji yako kauzu wewe.We wakuja fani za watu hizi unafikiri siku hizi watu wanasoma makaratasi kama lowassa.