falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Hivi hawa mawaziri huwa wanamshauri nini Rais?
ukweli huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa mawaziri huwa wanamshauri nini Rais?
Naona wameanza na clips za kumpamba hapa.
Nakumbuka Mnyika nae alikuja na ahadi tamu Ubungo za kuwa akichaguliwa tu basi tatizo la maji linaingia kwenye historia.Leo yapo wapi??
Sugu yeye aliwaahidi Mbeya kuwa japo kuwa kwa kutumia ideas zake kama ilivyokuwa malaria no more ataanzisha miradi ya mabwawa ya kufuga samaki Mbeya ili vijana wengi wajiajiri kwa kufuga samaki.
Na akaongeza kuwa akichaguliwa tu basi kila mwanafunzi wa sekondary Mbeya atapata laptop.Ni uzembe tu wa mbunge aliyekuwepo kushindwa kuja na idea za maana.
Leo miaka 5 baadae ata kiyakumbushia hawakumbushi.
Hivyo kama unaona hawa wa CCM wanaongea ndoto tatizo sio la CCM, tatizo ni watanzania, ata hao wa Upinzani wanaongea ndoto hizihizi kama hawa
Nilikuwepo ukumbini Mlimani City...wewe ulikuwa wapi wakati anahutubia?
Kama hiyo ya Makamba kueleza nini atafanya bila kusoma imewakeleketa sana, basi ndio mjue hao ndio aina ya viongozi ambao wapo CCM....sio kama waliofeli shule wa huko UKAWA
nategema waganga wa kienyeji wa kutosha leo
Alikuwa anasoma kwa kutumia TelePrompter.
Hata hivyo CCM ni waongo tu
Kijana mdogo umeshaanza kununua watu.. Eti hana kashfa!? Aliiba mradi wa Sugu wa maralia no more akaupeleka kwa ruge then wakagawana nusu kwa nusu fisadi mkubwa huyu.
nategema waganga wa kienyeji wa kutosha leo
Na amekula sana milioni 10 kumi za kumuona rais ikulu.
»Yule shemeji yake wa ABG walimfanya mbaya sana.
»Kasharudisha cheti cha watu cha form 4?
Watu wa bumbuli wanashangaa mnavyomshangilia huyo kilaza
Nilimkubali sana Muhongo alipoliongelea hilo swala la gesi. Alichambua kila kitu kuhusiana na gesi na kiwango ambacho inaweza kuzalishwa mpaka kumfikia mtumiaji wa mwisho..
Muhongo yuko poa sana kichwani. Statistics za kiuchumi alizokuwa akitoa kati ya China, Brazil, Kenya na Tanzania kwa kweli ziliibeba sana hotuba yake....
Go Muhongo! Go....