Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Nimemsikiliza Januari Makamba wakati akitangaza nia, amezungumza mambo mengi lakini ameharibu utamu wa hotuba hiyo kwa kusema uongo.

Makamba katika hotuba yake amesema itachukua miaka mingi hata kumi kwa Tanzania kuanza kuvuna gesi na rais ajaye anaweza akaondoka madarakani bado gesi haijaanza kutumika.

Huu ni uongo wa wazi ana pengine inaweza kuwa ni kutojua kwamba tayari gesi imeanza kutumika kwenye maeneo mengi ikiwemo kweye viwanda mbalimbali hususani kwenye jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo mengine kwenye majumba inatumika.

Namshangaa Januari anaposema gesi haitotumika kwa miaka ya karibu, anataka kutuambia hata mioundo mbinu ya gesi iliyojengwa itaanza kufanya kazi baada ya miaka kumi?

Namshauri aache kuzungumzia mambo ambayo hayajui na kama anatamani kuyazungumzia basi angeuliza kwa wataalamu wa masuala ya gesi kabla ya kufungua mdomo kuongea asiyoyajua.

Kwa mujibu wa wizara ya nishati na madini gesi itaanza kutumika miezi michache ijayo na tayari mabomba ya gesi yamekamilika kwa asilimia 90 na hata kiwanda cha DANGOTE kinachojengwa kitatumia gesi hiyo ambapo kiwanda hicho kitaanza uzalishaji mwezi wa nane kwa maana hiyo gesi itaanza kutumika kabla ya kiwanda hicho kuanza uzalishaji,
Ememaanisha nchi kuanza kuvuna faida kubwa za gesi ya Mtwara, sio mitungi ya kutumia kupika sasa!
 
Mimi siyo mshabiki wa Makamba wala yeyote aliyekwisha tangaza nia, lakini nataka unijuze haya mtoa mada.
1.Unaweza kuthibitisha kuwa yeye ndiye aliyetunga mswada huo?
2.Unazifahamu hatua zote za kutunga mswada wa sheria?
3.Una uhakika suala hilo ni la Makamba peke yake na siyo la Baraza zima la Mawaziri?
4.Makamba ambaye ni naibu waziri ana nafasi gani ya maamuzi kumshinda Waziri wake?
 
Vituo vya ki Olympic? Hajui walimu hawana ata nyumba, hajui maabara zenyewe ni ishu.. Yani huyu kama ni siasa za uongo Katia fora anafikiri Tanzania yote ni sinza na mbezi!

Huyu nadhani ndiye mshauri wa ule mpango wa bajaji Za wajawazito ambazo zote zilikufa !
 
Mimi siyo mshabiki wa Makamba wala yeyote aliyekwisha tangaza nia, lakini nataka unijuze haya mtoa mada.
1.Unaweza kuthibitisha kuwa yeye ndiye aliyetunga mswada huo?
2.Unazifahamu hatua zote za kutunga mswada wa sheria?
3.Una uhakika suala hilo ni la Makamba peke yake na siyo la Baraza zima la Mawaziri?
4.Makamba ambaye ni naibu waziri ana nafasi gani ya maamuzi kumshinda Waziri wake?

Ulifatilia uchagiaji na kupitishwa bugeni analo la kuwaanbia watanzania katika kutangaza nia kama hilo hakuhusika nao
 
Mzee wa mb8, akipewa nchi je atatupa mb1
 
Ccm hakuna wa kutuongoza hata mmja, Ukawa pekee ndyo tegemeo letu
 
Alitangazia nia yake Tanga mjini au kwao Lushoto ?
 
Si shabiki wa ccm lakini, naona nchi inatupiwa mbwa wairarulie mbali. Kama huyu naye ameona aweza kuongoza dola, basi tumepotezwa. Naomba nisichukiwe bure lakini ccm hakuna aliyebaki kuongoza nchi
 
Nimemsikiliza Januari Makamba wakati akitangaza nia, amezungumza mambo mengi lakini ameharibu utamu wa hotuba hiyo kwa kusema uongo.

Makamba katika hotuba yake amesema itachukua miaka mingi hata kumi kwa Tanzania kuanza kuvuna gesi na rais ajaye anaweza akaondoka madarakani bado gesi haijaanza kutumika.

Huu ni uongo wa wazi ana pengine inaweza kuwa ni kutojua kwamba tayari gesi imeanza kutumika kwenye maeneo mengi ikiwemo kweye viwanda mbalimbali hususani kwenye jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo mengine kwenye majumba inatumika.

Namshangaa Januari anaposema gesi haitotumika kwa miaka ya karibu, anataka kutuambia hata mioundo mbinu ya gesi iliyojengwa itaanza kufanya kazi baada ya miaka kumi?

Namshauri aache kuzungumzia mambo ambayo hayajui na kama anatamani kuyazungumzia basi angeuliza kwa wataalamu wa masuala ya gesi kabla ya kufungua mdomo kuongea asiyoyajua.

Kwa mujibu wa wizara ya nishati na madini gesi itaanza kutumika miezi michache ijayo na tayari mabomba ya gesi yamekamilika kwa asilimia 90 na hata kiwanda cha DANGOTE kinachojengwa kitatumia gesi hiyo ambapo kiwanda hicho kitaanza uzalishaji mwezi wa nane kwa maana hiyo gesi itaanza kutumika kabla ya kiwanda hicho kuanza uzalishaji,
Mkuu, ukisikia watu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii, ndio kina nyinyi!. Umemsikiliza Januari lakini kumbe hukusikia alichosema, amesema itatuchukua miaka zaidi kumi kuifanya Tanzania kuwa ni nchi ya uchumi wa gesi!, Januari ni realist na very practical kwamba usiwape watu matumaini hewa ya Tanzania kugeuka peponi chini ya miaka 10!, haimaanishgi gesi haijaanza kutumika bali itatuchukua miaka zaidi ya 10 kwa effects za gesi kuleta tofauti kwenye uchumi wetu kwa sababu ili faida iweze kuonekana ni kwanza ile investiment iliyokuwa injected irudi!.

Watanzania tunabidi tuelimishwe sana hii mikataba ya PSA inasema nini, vinginevyo kuendelea kuwapa watu matumaini hewa ni kuwajengea too much great expectations, wakikosa, wataishia kwenye too great disappointment na despair mwisho wa siku Mtwara na Lindi kutuleta Biafra yetu!.

Kipindi cha Mkapa, uchumi wetu ulikuwa kwa more than 6% ambacho ndicho kiwango cha WB cha ukuaji mzuri wa uchumi, jee mwananchi wa kawaida kabisa kule kijijini alipata impact yoyote ya ukuaji huo?!.

Kwenye gesi kila kitu tumekopa, tafuta muda kanisome hapa labda utaelewa!.
[h=3]Gesi asili: Is it "day light robbery?!"- Watanzania Tunaibiwa Mchana Kweupe!...
[/h]alichoogopa kusema January ni kuwa Watanzania walio wengi hatuwezi kuanza kufaidi matunda ya gesi, mpaka kwanza wenye fedha zao zirudi!.

Kwa vile vijiji vyote ambako bomba la gesi litapita, walitakiwa wawekewe matoleo ya kuanza kutumia nishati ya gesi badala ya kuni, lakini gesi kutoka Lindi, toleo ni Kinyerezi, hakuna hata kijiji kimoja kitakachotumia hiyo gesi bali umeme watapatiwa!.
Pasco
 
Mzee mwenzangu I conquer with u...huyu dogo don play,na ameset very high bar kiasi kwamba hawa wakongwe wanaonekana kindergarten kids

Na wakizubaa tu dogo anawaacha mbali sana...dogo did the unthinkable aisee...kajipanga kwa kifupi na team yake

Kweli kajitahidi kuanzia kila kitu wengine walikua wanafanya masihara tu.
 
Hapo tafsiri yake ni kuwa anaiponda ile katiba yao pendekezwa ya Lumumba, iliyoandikwa na nyoka mwenye makengeza, ambayo inatoa ruksa ya zaidi ya.mawaziri 30.

Kwa January kutuambia kuwa ataunda baraza la mawaziri wasiozidi 18, maana yake anaiunga.mkono Rasimu ya Tume ya Warioba ambayo ilipendekeza mawaziri wasizidi 18.

Kwa hiyo kwa kauli yake hiyo amewaunga mkono indirect Ukawa kwa kususia BMK!

Aksante. Aksante kabisa.....
 
Kuna kitu kinajidhihirisha katika hii mikiki mikiki ya kutangaza nia, nacho ni kuwa JK alizungukwa na mizigo mingi. Ukichangia na yeye mwenyewe hakujaaliwa weledi wa hali ya juu, ndio maana aliishia kusema za kuambiwa changanya na za kwako.

Sampuli za mawaziri kama hawa wanao-hallucinate half the time ni kuwa hata wakitoa ushauri unashindwa uanzie wapi,kwani probability ya kuingizwa kingi ni kubwa sana.
 
Mkuu, ukisikia watu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii, ndio kina nyinyi!. Umemsikiliza Januari lakini kumbe hukusikia alichosema, amesema itatuchukua miaka zaidi kumi kuifanya Tanzania kuwa ni nchi ya uchumi wa gesi!, Januari ni realist na very practical kwamba usiwape watu matumaini hewa ya Tanzania kugeuka peponi chini ya miaka 10!, haimaanishgi gesi haijaanza kutumika bali itatuchukua miaka zaidi ya 10 kwa effects za gesi kuleta tofauti kwenye uchumi wetu kwa sababu ili faida iweze kuonekana ni kwanza ile investiment iliyokuwa injected irudi!.

Watanzania tunabidi tuelimishwe sana hii mikataba ya PSA inasema nini, vinginevyo kuendelea kuwapa watu matumaini hewa ni kuwajengea too much great expectations, wakikosa, wataishia kwenye too great disappointment na despair mwisho wa siku Mtwara na Lindi kutuleta Biafra yetu!.

Kipindi cha Mkapa, uchumi wetu ulikuwa kwa more than 6% ambacho ndicho kiwango cha WB cha ukuaji mzuri wa uchumi, jee mwananchi wa kawaida kabisa kule kijijini alipata impact yoyote ya ukuaji huo?!.

Kwenye gesi kila kitu tumekopa, tafuta muda kanisome hapa labda utaelewa!.
[h=3]Gesi asili: Is it "day light robbery?!"- Watanzania Tunaibiwa Mchana Kweupe!...
[/h]alichoogopa kusema January ni kuwa Watanzania walio wengi hatuwezi kuanza kufaidi matunda ya gesi, mpaka kwanza wenye fedha zao zirudi!.

Kwa vile vijiji vyote ambako bomba la gesi litapita, walitakiwa wawekewe matoleo ya kuanza kutumia nishati ya gesi badala ya kuni, lakini gesi kutoka Lindi, toleo ni Kinyerezi, hakuna hata kijiji kimoja kitakachotumia hiyo gesi bali umeme watapatiwa!.
Pasco

Bora Mwalimu Umeokoa Jahazi Mana Ushabiki Ukizidi Watu Wanaweka Akili Zao Pembeni Wanaongozwa na Hisia kwa Jinsi Ulivyopambanua Asielewa tena awahi Njia ya Mirembe Mapemaaa
 
Uko sahihi Mkuu..hawajmuelewa Makamba..huo ndio uhalisia kuhusu uchumi wa gas.
 
Ewe mleta mada hii gas unayoiona inaletwa siyo ilyovumbulia leo na haina uwingi wa kuweza kusafirishwa nje na kuiletea nchi fedha za kigeni.

Kuvuna Gas kiutajiri ni kweli kabisa si chini ya miaka 10 kuanzia sasa.

Ww ndo ungesema hii gesi inayochimbwa sasa iligunduliwa lini na ipo kkwa ujazo upi???...nyinyiemu mnakanyaganya tuu...
 
Mzee mwenzangu I conquer with u...huyu dogo don play,na ameset very high bar kiasi kwamba hawa wakongwe wanaonekana kindergarten kids

Na wakizubaa tu dogo anawaacha mbali sana...dogo did the unthinkable aisee...kajipanga kwa kifupi na team yake

labda kaja kivingine kwako
1.Anasema atakuwa na mawaziri 18....ila katiba ya warioba aliikataa ilipoweka limit ya namba ya mawaziri
2..anasema ataongeza uwazi na uwajibikaji wakati akiwa waziri ameratibu uundwaji wa sheria kandamizi za mitandao na sasa habari

january anasema kuunda kile ambacho anakivunja kwa sasa na hatumwamini yaan akiwa rais nchi itatawaliwa kwa usiri na kikandamizi zaidi

leo gharama za simu zimepanda mara dufu
AKIWA BUNGENI HATUKUMSIKIA AKIKEMEA UFISADI kama membe na pinda

hatutaki vijimaneno tunataka kazi ni kazi MAKONGORO
 
JANUARY MAKAMBA ANATUMIWA NA KAMPUNI ZA UINGEREZA: Kwa muda mrefu Kampuni za Uingereza zimejitahidi sana kuhujumu jitihada za Tanzania kutumia gesi yake kwa manufaa ya Watanzania. Gesi inazalisha umeme, Makamba hajui hili? Viwanda vya Dar vinatumia gesi, Makamba hajui hili? Gesi inatumika kupikia Makamba hajui hili? Tatizo ni yeye kutumiwa na adui zetu wa maendeleo. Tumkatae Makamba na tuwakatae waliomtuma. J Makamba ni kibaraka na adui yetu. Aende shule.
 
Back
Top Bottom