share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Hata 2015 mliitazama Aljazeera
Akili zako bado zimeshikiliwa? Utakuwa JINGALAO mpaka msikiti wa Chamwino utakapomalizwa kujengwa kwa fedha ya Kanisa. Period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata 2015 mliitazama Aljazeera
wanahabari hafukuzwi kwani asie kwenda ataambiwa sio raia.CCM OYEEEEEEE!
Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA.
Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya ufunguzi katika jiji la DODOMA ambayo ni makao makuu ya nchi kwa miaka mingi.
Karibu DODOMA ya watanzania:
njoo usikie
1-Mafanikio ya Serikali chini ya CCM
2-Sera halisi na zinatokelezeka kisiasa
3-Utatuzi wa kero za wananchi wa hali ya chini
4-Ujasiri wa viongozi wakongwe ,waliopo na wajao
5-Mbinu za kushinda milipuko na dharura kama Covid 19
6-Ushughulikiaji wa mafisadi na wahujumu uchumi
7-Uboreshaji wa miundombinu
8-Kanuni za kukuza uchumi
9-Uboreshaji wa Afya za watanzania ikiwemo ujenzi wa hospitali ya UHURU
10-Ukusanyaji wa kodi kwa usawa
11-Uhuishaji wa Sera na matarajio ya waasisi wa Taifa letu
12-Misimamo ya Taifa dhidi ya mabeberu na ushoga.
13-Utatuzi wa kero za kijamii,kisiasa na kijamii
14-Mafanikio ya michezo na utamaduni
15-Utekelezaji wa kulinda amani na kuunganisha jamii
16-Ulinzi wa mipaka ya nchi dhidi ya maadui wote wa ndani,majirani na dunia nzima.
17-Uwajibikaji wa watumishi mashirika,asasi kwa jamii
18-Usimamizi wa Sheria,kanuni,taratibu na miongozo tuliyojiwekea
19-Ulinzi wa Rasilimali za nchi kwa minajili ya vizazi vijavyo
20-Sera na muelekeo wa kujitegemea kama Taifa huru kisiasa,kijamii,kiuchumi na kiutamaduni
21-Ukaribu wetu na wasanii,vijana,wazee,walemavu ,na makundi yote maalumu.
22-Sera zetu za kuikomboa Afrika nzima dhidi ya ukoloni mamboleo.
23-Uboreshaji wa Elimu endelevu yenye maudhui ya kujitegemea na kuandaa watu wenye weledi rithi wa kidunia.
24-Mbinu zilizotuingiza uchumi wa kati
25-Njoo umuone Jembe John Magufuli aliyedhibiti mauaji ya Albino bila kutegemea NGO
26-Njoo umuone Mzalendo aliyetumia miaka yake mitano ya Urais akiwahudumia watanzania na sio kuzurura ughaibuni
27-Utegemezi wetu kwa Mungu muumba aliyeashiria mwanadamu wa kwanza alikuwa anaishi Tanzania.
28-Njoo usikie ukweli unaopinga Uongo na Ulaghai
Na mengineyo mengi ambayo yamejiri na yatakayojiri..
HAKUNA MWANAHABARI ATAKAYEFUKUZWA KAMA MBWA
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nadhani TAKUKURU wana taarifa zaidi, wafuatilie.waulize fedha za M4C na za wabunge na ruzuku zipo wapi??
Hawawezi kujaribuAwamu ya tano ndiyo wapinzani wanakosea kujaza fomu ?!. Na wale waliotekwa, na walionyanganywa mbele ya mkurugenzi (mtama) na wale waliofungiwa milango bila wasimamizi kuchukuwa fomu zao ?!.
Mnapendwa sana, basi waacheni wananchi wachague .
Siku ya uzinduzi wa mitama, Mbasha pia atakuwepo ktk stage ili apigwe mtama.Wasanii wote watakuwepo
Msikose show zao
Ova
Thanks to r tor tor youHamna cha Maana, me nakuja kuwaangalia akina tembo tu
Thanks tf to fffThanks to r tor tor you
Tuseme kwa mfano uonyeshwe gharama ya lile tamasha la pale Uhuru na hili la Idodomya, hapo bado matamasha mengine nchi nzima, unaweza ukabunia,, ni kodi zetu au wamezitoa mifukoni mwao?? Na je! Hizi gharama zote nani atawarudishia?? Au ni wazalendo sana kwamba wapo tayari kupoteza pesa zote hizo na wakishindwa uchaguzi watakubali??Siku ya uzinduzi wa mitama, Mbasha pia atakuwepo ktk stage ili apigwe mtama.
Natamani nisikujibu lakini acha nikujibu japo haitaondoa upumbavu kichwani make.Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!
Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.
Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??
Amekuleteeni show za wasanii mmeangalia bureAksante Sana Ngosha kwa hakika umeitendea haki siku ya leo
Huku wanafata sera kwa mapenzi yao na sio wasanii,bila wasanii ccm atabakia bashiru na pole poleNdio muda wake huu na nyie si mumlete professa J?
Huku wanafata sera kwa mapenzi yao na sio wasanii,bila wasanii ccm atabakia bashiru na pole poleNdio muda wake huu na nyie si mumlete professa J?