mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hao wasanii mbona wasiende mbagala Jana ili mjaze!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wasanii mbona wasiende mbagala Jana ili mjaze!?
Kwanza Kuna hatihati hata mkutano wao wa Leo usijae Maana watu watakuwa busy kufuatilia yanayojiendelea viwanja vya Jamuhuri Dodoma.Ivi CHADEME kweli siku ya kwanza Tu mnachangisha Pesa Hata bila kutuambia mnakwenda kutufanyia nini Mkishinda how do u win new Voter kwa kuwachangisha the Very First day ya kam,
Wewe utajua ni Diamond Jumuiya ya Kimataifa Wakiona Picha watajua ni CCM unawashawishi yule ni Diamondi na Sio CCM Siasa ni Akili picha za Leo Hazitaandika Concert LA Diamond Zitaandikwa Campaign za CCM zaanza Kwa Kishindo so Dunia Itaona Si Mnataka mabeberu Wajue nguvu ya CCM subirini Leo tunakendwa kutuma ujumbe
Utakubali kiaina, huuo ndo the world leader sema tu ahatua hela kama taifa ila tungekuwa nazo wangetuheshim tu.
Sawa tu
Kwani si kila chama kinapewa pesa ya kufanyia kampeni? au hazitoshi?Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!
Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.
Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??
Akili za darasa la saba hizi!!Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!
Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.
Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??
Bahati nzuri baba ako na Mama yako mdogo (wahuni wenzao) walikuwepoKesho ndo unaweza kusema Kuna chama Cha kisiasa kinaenda kufungua kampeni Ila leo kilikuwa Ni kikundi cha Wahuni Wachache tu kilichokuwa na lengo la kuligawa Taifa kwa mgongo wa kufungua kampeni.
Bora wewe umefikiria kwa jicho la kibiashara..all the bestFree free free kuona wasanii 200+,tena under one roof!!
Mimi fuso zangu sijui zitapata tenda ya kusomba watu,maana nimeambiwa Shabiby kajitolea bus 20.
hadi hapa tayari umeshapanic 🤣Kwani chadema adi sasa mmeshatoa albamu ngapi?maana naona baada yakukomaa nakuwa watu wazima mnakuwa watoto.
Pesa ya chama na serikali wapi na wapiDiamond platnumz na zuchu[emoji848][emoji848][emoji848]
Hayo mabilioni mnayowalipa wasanii si mngewalipa hata walimu malimbikizo yao, raisi wanyonge watanzania mpaka wafe
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
uliona wapi mashabiki wa yanga wanapanda malori kwenda kuishabikia SIMBA😂😂😂MALORI NA WASANII WATAJAZA UWANJA