Uchaguzi 2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

wanahabari hafukuzwi kwani asie kwenda ataambiwa sio raia.
 
Siku ya uzinduzi wa mitama, Mbasha pia atakuwepo ktk stage ili apigwe mtama.
Tuseme kwa mfano uonyeshwe gharama ya lile tamasha la pale Uhuru na hili la Idodomya, hapo bado matamasha mengine nchi nzima, unaweza ukabunia,, ni kodi zetu au wamezitoa mifukoni mwao?? Na je! Hizi gharama zote nani atawarudishia?? Au ni wazalendo sana kwamba wapo tayari kupoteza pesa zote hizo na wakishindwa uchaguzi watakubali??
Mhhhhh sidhani naona wakijipanga kuja kurudisha pesa zao kwa hasira zote na msoto mwingine mkali wamiaka 5 kuliko huu, NAJARIBU KUWAZA TUU..!!
 
Natamani nisikujibu lakini acha nikujibu japo haitaondoa upumbavu kichwani make.
Ulishawahi kasema Lisu ametumwa na MABEBERU kuja kugombea? Ni kweli?
Kama ni kweli kwann basi hao MABEBERU wasimpe pesa?wajinga sana nyie
 
Aksante Sana Ngosha kwa hakika umeitendea haki siku ya leo
 
Naona baada ya kumsikia Magufuli akijadili hoja wafuasi wa Chadema wameanza kuja na threads za nini watafanya ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…