Vumilia mkuu
Kazi kwelikweli mkuu
Hahahaaaaa. Aumiage tu πππ
Hahahaha
Ndo hivyo mkuu tunakaribia kushinda hivyo
Hahahaaa. Anateseka sana huyu haswa akikumbuka huu uzi wake.Vumilia mkuu
Sasa natembea kifua mbele na point 50 kwa michezo 18.Naomba mpira umalizike sasa kwa kuwa point 3 tayari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo hivyo mkuu tunakaribia kushinda hivyo
Hahahaaa. Anateseka sana huyu haswa akikumbuka huu uzi wake.
Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu - JamiiForums
Naanza mwaka vizuri sana