DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Liiliwahi kumpata mweweDuwa la kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liiliwahi kumpata mweweDuwa la kuku
😂😂😂😂Yanga inacheza na mikia ndani ya mbeya city.
Simba wameshaduguliwa 2 kwa 1.
Umepata uelekeo kidogo?
Hawa Azam wanataka kumuacha huyu Mgogo wa jangwani atambe kule juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Azam wanataka kumuacha huyu Mgogo wa jangwani atambe kule juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Mwakani kupanda ndege watakusikia kwa jirani.
Kuna shabiki wa mikia amesema wataota sugu mabegani kwa kujifunga mikanda kwa safari za ndege.
Mwisho wao ni kundi D
Yanga inacheza na mikia ndani ya mbeya city.
Simba wameshaduguliwa 2 kwa 1.
Umepata uelekeo kidogo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jipe moyoooLiiliwahi kumpata mwewe
Nakazia ndio mana hatuzipi nguvuNgoja tuwasubiri Al Ahly, hizi ligi za kichawi chawi zinazingua.
Umesahau kwamba hata Mikia ni zao la ligi za kichawi eee?Ngoja tuwasubiri Al Ahly, hizi ligi za kichawi chawi zinazingua.
Ligi hii hii ndo inayokufanya mikia mpande ndegeNgoja tuwasubiri Al Ahly, hizi ligi za kichawi chawi zinazingua.
Msianze kulialia mkikosa hata 3 bora msimu huuNakazia ndio mana hatuzipi nguvu
Ndio maana hata nyinyi mnatumia nguvu kubwa hili angalau mwakani mpande ndege.Ligi hii hii ndo inayokufanya mikia mpande ndege
Mkuu unapiga Sana kelele unawachanganya wachezaji wetuLigi hii hii ndo inayokufanya mikia mpande ndege
Kumbe mnateseka sana. Ngoja gongowazi tushinde halafu singida wawakazie.Azam anatakiwa apoteze hii game ili aondoe gap kwa simba. Ibaki hao Gongowaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kushangilia mkuu. Mpira bila kelele haunogi.