Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Basi Al Ahally.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashujaa ndio wakina nani hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Al Ahally.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashujaa ndio wakina nani hao
Naona bitua butia zimetawala kwa wagogo wa jangwaniMkuu unajisikiaje kwa sasa?
Pole Mtani utajifariji saa moja.Hao Mbeya City wamejipanga kuniharibia weekend tu.
Hahaha, hivi wa kupambana na hali yake ni mimi kweli?Khaaaaa
Pambana na hali yako mm simba damu usiniletee hizo habari zako
Timu inamiaka zaid ya 80 inatia aibu kwelMabakuli yatakayopitishwa uwanja wa Sokoine kuchangia Yanga
View attachment 980394
Sent using Jamii Forums mobile app
We dada ebu niache jamaaniBasi Al Ahally.
Hahahaa. Ila Nimecheka. 🤣🤣🤣Khaaaaa
Pambana na hali yako mm simba damu usiniletee hizo habari zako
Tunasonga ujue we sema tu game bado mbichi wakati dkk zinasogeaTulia mkuu gemu Bado mbichi hi muulize shadeeya alimwagiwa maji dakika chache zilizopita na kikokotoo Cha iddy Nado
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tujikune tuuuuHahaha, hivi wa kupambana na hali yake ni mimi kweli?
Simba vipo vitaongezwa na kuna gap kubwa tu kati vinara na nyie mikia.
Anyways, ngoja nipambane na hali yangu mkuu ili mikia mfanye kujikuna
Hayo hayo tunazidi kukuacheni mikia.Naona bitua butia zimetawala kwa wagogo wa jangwani
Magoli ya buuuu baaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha kaniudhi mm najua sijui ana tatizo gani ananiletea habari zake za yangaHahahaa. Ila Nimecheka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]