Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Mbeya City leo wako nyumbani uwanja Sokoine jijini Mbeya kumenyana na vinara wa ligi kuu vijana wa Jangwani Yanga.
Sio kumenyana, sema KUMENYWA na Makambo

Mbeya city imeahidi kumaliza mwaka 2018 kwa kishindo cha ushindi wakiwa nyumbani.
Mbeya Sweety ni kama wanasiasa, usiwatilie maanani wakiahidi jambo.
 
Ni aibu Yanga wakiwa bingwa kwa timu hi ligi ya Tanzania ipo chini Sana daaaah
Yaani timi hi inacheza mechi 18 Bila kufungwa unbelievable

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchambuzi wako siyo sahihi...kumbuka Yanga inacheza kitimu...haina majina makubwa ya wachezaji...ogopa timu inayocheza kitimu na ikiwa na mwalimu sahihi na anayejua saikolojia...
 
Hahahaaa. Mtaniiii. Mi Yanga damu kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NYUMA MWIKO HASWAAAA YAANI MBELE KWA MBELE.

Zawadi tuletee zaidi ya Makambo aje kutunyooshea watu Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha, kuhusu mchezaji zaidi ya Makambo usijari hilo liko ktk ratiba

Safi Sana Mtani, Mbele Daima Nyuma Mwiko

Heri ya Mwaka Mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wako siyo sahihi...kumbuka Yanga inacheza kitimu...haina majina makubwa ya wachezaji...ogopa timu inayocheza kitimu na ikiwa na mwalimu sahihi na anayejua saikolojia...
Kwa Sasa una furaha uwezi kunielewa
Yanga wako weak Sana defense timu nyingi zinashindwa kutumia nafasi kutokana na Aina ya wachezaji wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae na kipigo Cha Eliud Ambokile , ndo mtajua umuhimu wa Beno Kakolanya

Sent using Jamii Forums mobile app

Beno hawezi kurudi Yanga...Yanga huwa haibembelezi mchezaji...Yanga iliwahi kufukuza wachezaji wote 28 + na ikaanza upya...huwezi kuwa na mchezaji mamluki na anayeonyesha wazi umamluki wake...meneja wake ni Simba, kwanini Yana wasiamini kuwa meneja wake ndiye aliyemtuma Beno asusie timu kama ndiyo mkakati wa kuihujumu Yanga...Beno akirudi Yanga nitatoka mafichoni kwenda Yanga kuhakikisha uamuzi huo unatenguliwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…