Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Sio kumenyana, sema KUMENYWA na MakamboMbeya City leo wako nyumbani uwanja Sokoine jijini Mbeya kumenyana na vinara wa ligi kuu vijana wa Jangwani Yanga.
Mbeya Sweety ni kama wanasiasa, usiwatilie maanani wakiahidi jambo.Mbeya city imeahidi kumaliza mwaka 2018 kwa kishindo cha ushindi wakiwa nyumbani.