Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona Swahiba brave one umeanza mapeeema. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haijalishi lakini.
Kila la kheri kwa chama langu Yanga iwe jua iwe mvua niko nayo tu. Game ngumu ila najua matokeo tutayapata.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Tusubiri tuone Swahiba.
Kabisa yaani.
Hahahaha, utanipa Matokeo Mtani/RafikiUnachokifikiria kipi Swahiba?
Hahahaaa. Tuna kamoja tayari Mtani
Michezo ya kafara haipo Yanga. Hiyo ni kazi yenu Mkuu.
Mmh. 😳😳
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulia Yanga wametanguliabrave one soooma hiiyooooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Tuna kamoja tayari Mtani
Ni kweli mkuu
@Shadeeya mniongeze hela kwa huyu Makambo sasa,HahahahaHahahaaa. Tuna kamoja tayari Mtani
😣😣😣 wamekomboa Mtani.
[emoji21][emoji21][emoji21] wamekomboa Mtani.
Yabidi ligi ikimalizika tumfikirie.
Kama nakuona vile Swahiba