Kweli kabisa mpira dkk 90
Unateseka sana enhe?
Kama nakuona vile Swahiba
Nashangaa hajaniambia etiii. πAlitakiwa akwambie na wewe, somaa hiyooo!
Hahahaha, sawa sawa, ili niwaletee mkali mwingineYabidi ligi ikimalizika tumfikirie.
Ya kweli hayo Sapta?Jiandaeni kisaikolojia leo mtakufa kifo kibaya sana
KILA LAKHERI MBEYA CITY
Wacha weee. π€£π€£Kila la heri mbeya city
πππ sawa Mtani
Namsumbua nani jamaani?
Halafu mechi ya mashujaa hukuonekana hapa. πππ
PoyeeeI'm so very sad
Wewe nakutafuta
Woyoooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashujaa ndio wakina nani haoWacha weee. [emoji1787][emoji1787]
Wapi Mashujaaa. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]