Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Khaaaaa
Pambana na hali yako mm simba damu usiniletee hizo habari zako
Hahaha, hivi wa kupambana na hali yake ni mimi kweli?
Simba vipo vitaongezwa na kuna gap kubwa tu kati vinara na nyie mikia.
Anyways, ngoja nipambane na hali yangu mkuu ili mikia mfanye kujikuna
 
Makwasukwasu fc a.k.a mbutembute! Roho ipo juu juu, karibu moyo unadondokea tumboni!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Dada yangu huyo tukifika hapo tu ndio tunatofautiana. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ye ni Simba lialia. Shunie
Huyo dafu na ndimu apambane tu na hali yake hivi alijua mm yanga mwenzie au
 
Hahaha, hivi wa kupambana na hali yake ni mimi kweli?
Simba vipo vitaongezwa na kuna gap kubwa tu kati vinara na nyie mikia.
Anyways, ngoja nipambane na hali yangu mkuu ili mikia mfanye kujikuna
Acha tujikune tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…