Double strikers, I hop it will work out!!
Kudadeki, wameachia point 4 muhimu ndani ya siku 4FT Yanga 0 Prison 0.
Malalamiko FC mwishowe mtataka Mechi zenu zichezwe asubuhi. VIPORO MLIVITAKA WENYEWEEEEE mkidhani dili sasa vinachachaaaYanga ikicheza usiku inaonewa sana, inabidi TFF itupangie mechi za jioni pekee Molinga na Morrison waonekane ndio watafunga
MmmhhYanga ikicheza usiku inaonewa sana, inabidi TFF itupangie mechi za jioni pekee Molinga na Morrison waonekane ndio watafunga
Kutembea juu ya mpira leo hatujaona , ila kipaji kingine cha kupiga watu viwiko amefanikiwa kutuonyesha... aah ni fundi kweli..Red kadi tu ndo haikutolewa