Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Haki majibu yako yanatosha kumfanya mtu ajiue bila kukusudia.Sio mbaya
Ila nyie tuliwafunga kwa urahisi...teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki majibu yako yanatosha kumfanya mtu ajiue bila kukusudia.Sio mbaya
Ila nyie tuliwafunga kwa urahisi...teh!
Jirani nawe leo ulikuwa busy sana....Nilikutafuta bila mafanikio.Kwani kuna habari gani
Thread ndefu nimeshindwa kusoma
Haki majibu yako yanatosha kumfanya mtu ajiue bila kukusudia.
Tumepewa mbeleko!!Jirani nawe leo ulikuwa busy sana....Nilikutafuta bila mafanikio.
Habari yenyewe ni kuhusu Simba kupewa mbeleko.
Kwani kuna habari gani
Thread ndefu nimeshindwa kusoma
WoyooooooooKama kawaida hatuachagi ushahidi
Tp wazembe na al ahly tu ndio wanatusumbua dunia nzima [emoji6]
Teh!tuliwafunga kweli
Yani Yanga hawakumbuki mara ya mwisho wametufunga lini
Au kama wewe yanga hebu nikumbushe [emoji2][emoji847]
Woyoooooooo
Kwahiyo mnyama kama kawaida eenh point 3 zetu
Wouzerr wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tunazikusanya tu points zetu
Rafiki unafanya kosa kubwa la kiufundi kuniita mie mbute Fc.
Tumepewa mbeleko!!
Kwa maana hatujafunga au
Nisamehe bure rafiki
Najua kuitwa yanga ni fedheha kubwa sana hasa ukiitwa mbele za watu
Nimekukosea sana rafiki [emoji16][emoji28]
Jirani maneno ya wakosaji hayo tumeshayazoea sisiTuachane nao jirani siku hzi wamekuwa pia waimbaji taarabu wazuri tu.
Wallah vile naapa hii fedheha hutaipata tena kutoka kwangu!😂😂Rafiki kweli ni Fedheha sana..Almanusura niutoe uhai wangu kwa Fedheha uliyotaka kuniletea.
Anyway nimekusamehe ila usirudie tena kunifananisha na vitu vya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari zilizopo hapa ni Dilunga kupeleka kilio huko jangwani.Kwani kuna habari gani
Thread ndefu nimeshindwa kusoma
Wallah vile naapa hii fedheha hutaipata tena kutoka kwangu![emoji23][emoji23]
Kwa maneno mujaraab namna hii mimi ni nani mpaka niyapinge? ??Moyo wangu umetulia tuli kama hukunikosea vile [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Haya mkuu,tusubiri mechi ijayo nafikiri na Mbeya city
Mke wa nyumba za kupanga uswazi uyo, kazi hafanyi kutwa kushinda vibarazani kupiga majungu ndio maana maskini hadi kesho. Mwache apige majungu ataishia kula harufu tu.Hivi kwanini Yanga wanapenda kulalalmika....?