Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Haki majibu yako yanatosha kumfanya mtu ajiue bila kukusudia.

Teh!tuliwafunga kweli

Yani Yanga hawakumbuki mara ya mwisho wametufunga lini

Au kama wewe yanga hebu nikumbushe πŸ˜ƒπŸ€—
 
Rafiki unafanya kosa kubwa la kiufundi kuniita mie mbute Fc.

Nisamehe bure rafiki
Najua kuitwa yanga ni fedheha kubwa sana hasa ukiitwa mbele za watu

Nimekukosea sana rafiki πŸ˜πŸ˜…
 
Rafiki kweli ni Fedheha sana..Almanusura niutoe uhai wangu kwa Fedheha uliyotaka kuniletea.

Anyway nimekusamehe ila usirudie tena kunifananisha na vitu vya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe bure rafiki
Najua kuitwa yanga ni fedheha kubwa sana hasa ukiitwa mbele za watu

Nimekukosea sana rafiki [emoji16][emoji28]
 
Rafiki kweli ni Fedheha sana..Almanusura niutoe uhai wangu kwa Fedheha uliyotaka kuniletea.

Anyway nimekusamehe ila usirudie tena kunifananisha na vitu vya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah vile naapa hii fedheha hutaipata tena kutoka kwangu!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa maneno mujaraab namna hii mimi ni nani mpaka niyapinge? ??Moyo wangu umetulia tuli kama hukunikosea vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah vile naapa hii fedheha hutaipata tena kutoka kwangu![emoji23][emoji23]
 
Kwa maneno mujaraab namna hii mimi ni nani mpaka niyapinge? ??Moyo wangu umetulia tuli kama hukunikosea vile [emoji23][emoji23][emoji23]

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Haya mkuu,tusubiri mechi ijayo nafikiri na Mbeya city
 
Hivi kwanini Yanga wanapenda kulalalmika....?
Mke wa nyumba za kupanga uswazi uyo, kazi hafanyi kutwa kushinda vibarazani kupiga majungu ndio maana maskini hadi kesho. Mwache apige majungu ataishia kula harufu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…