Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Teh!tuliwafunga kweli

Yani Yanga hawakumbuki mara ya mwisho wametufunga lini

Au kama wewe yanga hebu nikumbushe [emoji2][emoji847]
sikuiz. wanatuogopa ni aibu simba kutoa hata draw na yanga
 
sikuiz. wanatuogopa ni aibu simba kutoa hata draw na yanga
Wakitoka droo na timu ya Simba SC, basi watashangilia mwezi mzima, na kuwadhihaki washabiki wa Simba SC hadi inakuwa kero.
Sijui ikitokea siku wakaifunga Simba hali itakuwaje.
 
Mm mzima jamani hunishindi mm nilivyokumiss dada akee
Nimefurahi kukuona Dada. Naona jana kuifunga Jkt Tanzania mnashangilia kama mmepata ubingwa wa Afrika.

Nilicheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…