Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ile mbeleko ya marefa itasaidia tu mkuu usijali.Hizi timu zinakamia sana zikicheza na Simba...Watakaa tu kipindi cha pili
Ile mbeleko ya marefa itasaidia tu mkuu usijali.
Mkuu wote sie ni omba omba wala hatuchekani!Ndicho Mnachokijua hicho nyie Ombaomba
Mnateseka sana ndugu zetu ila vumilieni tu.Mkuu wote sie ni omba omba wala hatuchekani!
Alipotekwa huyo bwanaenu mlitaka kufa kwa presha!
Subirini tu sindano ipenye na dawa iingie sawia!
Mbeleko leo imekaa vibaya.
Mkuu bila sisi nyie hamtakuwa chochote!Mnateseka sana ndugu zetu ila vumilieni tu.
Sikupingi ila sasa ni zamu yetu mjikaze tu...Mkuu bila sisi nyie hamtakuwa chochote!
Sawa mkuuSikupingi ila sasa ni zamu yetu mjikaze tu...
Mpira ushaanza tuendelee kufuatilia
Tuombe tu refa asiwe yuleeeDk 17 Simba 0 JKT 0