Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Hiki kipoo kitalika vizuri Kipindi Cha 2
Hawa jkt wanatumia nguvu kupita kiasi Kama mieleka wamekosa ustaarabu

Hili Ni kabumbu sio vita
 
Kotei atoke aingie Rashid Juma Kule mbele hamna pressing kabisa
 
Hizi timu zinakamia sana zikicheza na Simba...Watakaa tu kipindi cha pili
 
Mkuu wote sie ni omba omba wala hatuchekani!
Alipotekwa huyo bwanaenu mlitaka kufa kwa presha!
Subirini tu sindano ipenye na dawa iingie sawia!
Mbeleko leo imekaa vibaya.
Mnateseka sana ndugu zetu ila vumilieni tu.
 
Red card moja nasikia ni milion moja
Penalt moja ni milion 2.5

Tuone huyu wa leo atatengeneza sh ngapi
 
kipind cha pili kimeanza hakuna mabadiliko zaid yale ya kipind cha kwanza kat ya boccco na dilunga
58876469_1263858807106465_3064733566861574144_n.jpg
 
kagere na okwi wanapaswa kuwa makini kwani mabeki wa jkt wanarud sana nyuma




ni kama wanatafuta draw kwa kupack bas ya kiaina
 
Back
Top Bottom