Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kama Eli sasi angekuwa makini toka kipindi cha kwanza angeshamlima Kadi nyekundu
 
Refa katia kibindoni sh milioni moja,malipo halali ya kitanzania
Alikuwa na kadi ya njano toka FH na alishaonywa mara mbili kwa mchezo wake mbaya hii kadi kaipata kwa kumzodoa refa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…