Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Alafu hizo dakika 7 zimeongezwa kufidia muda gani uliopotea!!?? Tunaleta utani sana kwenye mpira.
Mnataka ashinde kila game??Huyu kocha wa Simba hana tofauti yoyote na makocha wa Ndondo kazi kufuga ndevu tu Mbuzi
Heshimu mawazo yangu sawa mkuuMnataka ashinde kila game??