Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Uyu jamaa kiazi kweli, kwan hizo saba amecheza simba peke yake. Haya tuambie wew ulitaka ziongezwe ngap?
 
Kwahiyo ilipangwa washinde dk za nyongez?
 
Hahaha nawashangaa sana hawa vyura. Unafikiri JKT wangepata goli wasingeshukuru kuongezwa kwa muda.
Sijaangalia match lakini unaweza kukuta kwamba JKT wamejiangusha sana na kupoteza muda ambao dawa wameipata jioni.
Sure Maana Kuna mchezaji wao.hadi kadi alipewa kwa kuchelewesha Muda.
 
Uyu jamaa kiazi kweli, kwan hizo saba amecheza simba peke yake. Haya tuambie wew ulitaka ziongezwe ngap?
Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.k
Katika mazingira hayo mlengwa alikuwa Simba na wamefanikiwa japo ina athari kubwa sana kwa soka la Tanzania.
 
Ningekua shabiki wa simba wala nisingeongea chochote zaidi ya kujificha ndani
Kama nilivyofanya mimi.
Naona aibu kwakweli, tunashinda kwa nguvu za marefa!. Kuna haja ya benchi la ufundi kuliangalia hili, sisi kama mashabiki tunaitaji soka na ushindi unaoonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…