The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Nimekuuliza kwanza kwamba ww ulitaka ziongezwe ngapi?Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.k
Katika mazingira hayo mlengwa alikuwa Simba na wamefanikiwa japo ina athari kubwa sana kwa soka la Tanzania.
Uliwaona wachezaji wa jkt pamoja na kipa wao walivyokuwa wanapoteza mda makusudi, mpak baadhi yao wakapewa kadi kwa kosa hilo?