Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.k
Katika mazingira hayo mlengwa alikuwa Simba na wamefanikiwa japo ina athari kubwa sana kwa soka la Tanzania.
Nimekuuliza kwanza kwamba ww ulitaka ziongezwe ngapi?
Uliwaona wachezaji wa jkt pamoja na kipa wao walivyokuwa wanapoteza mda makusudi, mpak baadhi yao wakapewa kadi kwa kosa hilo?
 
😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀🐸🐸🐸😀😀😀
Simba nguvu moja
Simba bingwa
 
Walikua wanataka sare nlishawaona muda mrefu
Hahaha nawashangaa sana hawa vyura. Unafikiri JKT wangepata goli wasingeshukuru kuongezwa kwa muda.
Sijaangalia match lakini unaweza kukuta kwamba JKT wamejiangusha sana na kupoteza muda ambao dawa wameipata jioni.
 
Hii Mechi inaonyesha utoto wa soka la Tanzania ndio maana ni kichwa cha mwendawazimu hizi timu ndio mtatoka mwende nje mkafanyenini?...

Huu utoto ndio unatuangusha kama nchi kupata maendeleo......
Simba wamefika robo fainali club bingwa na mwakani fainali sasa we endelea kupiga mayowe.
 
Nimekuuliza kwanza kwamba ww ulitaka ziongezwe ngapi?
Uliwaona wachezaji wa jkt pamoja na kipa wao walivyokuwa wanapoteza mda makusudi, mpak baadhi yao wakapewa kadi kwa kosa hilo?
Kwahiyo unataka kusema: wachezaji wa JKt walipoteza dakika saba!!??? Acheni mahaba.
 
JKT TANZANIA kutoka Jangwani wanalalamika Dilunga kufunga goli dakika ya mwisho.
Tunawakumbusha mmebakiza mechi 5.
 
Hamna jinsi ..,Yanga komaeni na FA tu.!huku hakuwahusu...msije kuwazibia nafasi wenye uwezo..!! CCL ni level ya Mnyama
 
Kama nilivyofanya mimi.
Naona aibu kwakweli, tunashinda kwa nguvu za marefa!. Kuna haja ya benchi la ufundi kuliangalia hili, sisi kama mashabiki tunaitaji soka na ushindi unaoonekana.
Pole sana. [emoji196]
 
Zile dakika za nyongeza refa aliwasimamisha JKT na Simba ikabaki kucheza na kipa tu.
 
Back
Top Bottom