greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Ningeandika.Wangepata goli JKT ungeandika hiki ulichosema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeandika.Wangepata goli JKT ungeandika hiki ulichosema
Uyu jamaa kiazi kweli, kwan hizo saba amecheza simba peke yake. Haya tuambie wew ulitaka ziongezwe ngap?Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
Kwahiyo ilipangwa washinde dk za nyongez?Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
Kwa taaaaabuNguvu moja[emoji123]
Naona wewe ndio umeumia zaidi kuliko Mwl wa JKTNingeandika.
Sure Maana Kuna mchezaji wao.hadi kadi alipewa kwa kuchelewesha Muda.Hahaha nawashangaa sana hawa vyura. Unafikiri JKT wangepata goli wasingeshukuru kuongezwa kwa muda.
Sijaangalia match lakini unaweza kukuta kwamba JKT wamejiangusha sana na kupoteza muda ambao dawa wameipata jioni.
Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.kUyu jamaa kiazi kweli, kwan hizo saba amecheza simba peke yake. Haya tuambie wew ulitaka ziongezwe ngap?
Unajua hakuna kitu kibaya kama kunuswa nyuma. Sasa ndio kinawakumba YANGA.Sure Maana Kuna mchezaji wao.hadi kadi alipewa kwa kuchelewesha Muda.
Kituo kinachofuata?
Tupe matokeoNingeandika.
marefa wanaharibu sana mpira mechi imechezwa dakika 100 ili simba ashinde
Kama nilivyofanya mimi.Ningekua shabiki wa simba wala nisingeongea chochote zaidi ya kujificha ndani
Inasemekana simba ilipangwa ishinde dakika za nyongeza.....
Refa 1 - 0 JKtTupe matokeo
Wangepata goli JKT ungeandika hiki ulichosema