The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Nimekuuliza kwanza kwamba ww ulitaka ziongezwe ngapi?Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.k
Katika mazingira hayo mlengwa alikuwa Simba na wamefanikiwa japo ina athari kubwa sana kwa soka la Tanzania.
Hahaha nawashangaa sana hawa vyura. Unafikiri JKT wangepata goli wasingeshukuru kuongezwa kwa muda.
Sijaangalia match lakini unaweza kukuta kwamba JKT wamejiangusha sana na kupoteza muda ambao dawa wameipata jioni.
Simba wamefika robo fainali club bingwa na mwakani fainali sasa we endelea kupiga mayowe.Hii Mechi inaonyesha utoto wa soka la Tanzania ndio maana ni kichwa cha mwendawazimu hizi timu ndio mtatoka mwende nje mkafanyenini?...
Huu utoto ndio unatuangusha kama nchi kupata maendeleo......
Kwahiyo unataka kusema: wachezaji wa JKt walipoteza dakika saba!!??? Acheni mahaba.Nimekuuliza kwanza kwamba ww ulitaka ziongezwe ngapi?
Uliwaona wachezaji wa jkt pamoja na kipa wao walivyokuwa wanapoteza mda makusudi, mpak baadhi yao wakapewa kadi kwa kosa hilo?
Huwezi amini nipo njiani naelekea mbeya.Mbeya moja hiyo 💪💪
Aisee kunywa maji kwanzaNi upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
ndicho kilichobakiKila timu ishinde zake.
Nimekuuliza wew, utupe uhakika zilipotea ngapi na utupe maelekezo ya hizo dakika halafu uje utuambie simba kabebwaKwahiyo unataka kusema: wachezaji wa JKt walipoteza dakika saba!!??? Acheni mahaba.
Pole sana. [emoji196]Kama nilivyofanya mimi.
Naona aibu kwakweli, tunashinda kwa nguvu za marefa!. Kuna haja ya benchi la ufundi kuliangalia hili, sisi kama mashabiki tunaitaji soka na ushindi unaoonekana.
Nawachukue tu FA ili tukutane nao Ngao ya Jamii.Hamna jinsi ..,Yanga komaeni na FA tu.!huku hakuwahusu...msije kuwazibia nafasi wenye uwezo..!! CCL ni level ya Mnyama
Nilidhani kuwa dk zimeongezwa kwa team zote, najaribu tu kuwaza kimoyomoyoAlafu hizo dakika 7 zimeongezwa kufidia muda gani uliopotea!!?? Tunaleta utani sana kwenye mpira.
Huwezi amini nipo njiani naelekea mbeya.
embu fanya kukuja na wewe
Nilidhani kuwa dk zimeongezwa kwa team zote, najaribu tu kuwaza kimoyomoyoAlafu hizo dakika 7 zimeongezwa kufidia muda gani uliopotea!!?? Tunaleta utani sana kwenye mpira.