Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Alafu kuna ka thread kamefunguliwa kakutolea mapovu nadhani mikia fc waende kule panawafaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania wote kwa pamoja tuwe wazalendo tupende vya kwetu, Tumia Sukari ya Kagera (Kagera Sugar) kwa Afya nzuri na ulinzi wa mwili


Kagera Sugar ni sukari yenye ubora wa kiwango cha kimataifa, ukitaka kuthibitisha hili waulize Simba FC ni mabalozi wazuri wa sukari hii...

[emoji1][emoji2][emoji16][emoji3][emoji41]
 
ILA OKWI KANIFURAHISHA JAMANI SABABU ULE WAKE LEO NI ZAIDI YA NCHECHETO. TEH TEH
 
Wale wale waliotupeleka FIFA mwaka Jana na leo wametuaribia unbeaten yetu.........

agggghhhhhhhh!!!!!!!!!

LADHA ya ubingwa iko pale pale,
LADHA ya unbeaten ya msimu hatuna Tena.....

JUMA KASEJA
 
Yaani zaidi ya Nyang'anyang'a aiseeee.

Namsubiri yule anayejifanyaga ana domo chafu tumsikie.

Hana hamu na zile sare zake. Lol
Domo chafu ana raha saiv, hata insta sijui kama atafungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…