Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeuri imeisha kwa kweliYaani zaidi ya Nyang'anyang'a aiseeee.
Namsubiri yule anayejifanyaga ana domo chafu tumsikie.
Hana hamu na zile sare zake. Lol
Point za mezani.Sasa hapo amewachana nini?
Ndio nn sasa
Ewaaaaaaa.Alafu kuna ka thread kamefunguliwa kakutolea mapovu nadhani mikia fc waende kule panawafaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamume akipigwa kawaida mwanamke hushangilia
Hahaaaa. Kupokea kombe kwa machungu.Jeuri imeisha kwa kweli
Inauma sana aisee yaaani leo nina furaha balaaaHahaaaa. Kupokea kombe kwa machungu.
Hatari sana aiseeeee.
Domo chafu ana raha saiv, hata insta sijui kama atafunguaYaani zaidi ya Nyang'anyang'a aiseeee.
Namsubiri yule anayejifanyaga ana domo chafu tumsikie.
Hana hamu na zile sare zake. Lol
Tufurahi tu kwa kweli sababu hatukunywa maji sisi huko nyuma.Inauma sana aisee yaaani leo nina furaha balaaa