Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kabisa, niwe mkweli, hata sijisikii kusheherekea, najaribu ila nashindwa.
 
Domo chafu ana raha saiv, hata insta sijui kama atafungua
Hahahaa. Hawezi ingia huko sababu leo lazima aogelee matani tena yale mazito mazito.

Sina hakika kama ataweza kuftari. Teh
 
Hawa kagera wanatakiwa wachunguzwe, msimu uliopita pia wao ndio wslitunyima raha.
 
Timu kubwa hivo inakosa watu elfu 60 kuujaza uwanja kweli? Ama kweli mashabiki wa simba ni wa mitandaoni ty
 
Kagera wamefanya jambo jema sana. Nina amini Simba hiki kipigo kimewauma mno maana walitaka wamalize ligi kwa style ya pekee, mbele ya mtukufu Rais
 
Timu kubwa hivo inakosa watu elfu 60 kuujaza uwanja kweli? Ama kweli mashabiki wa simba ni wa mitandaoni ty

Timu gani ya tanzania iliwah kuujaza uwanja wa taifa
 
Looh, nimebakiza moja kwa leo, Chelsea wanabeba FA.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…