Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeanza lini kuwa mke wako mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23] mke punguza jazba. Hiyo ndio Kagera bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeanza lini kuwa mke wako mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23] mke punguza jazba. Hiyo ndio Kagera bhana.
Tumewaachia kuongea nyie leo siku yenuNina furaha hisiyo na kifani
Nakubali mmechukua kombe ila sio kwa unbeaten mngeongea sana
Kabisa, niwe mkweli, hata sijisikii kusheherekea, najaribu ila nashindwa.inakera sana!
simba badala ya kuweka record ya kutokufungwa hadi mwisho, Leo karuhusu bao kufungwa NA kagera sugar!
Wameharibu raha yooote! bora wangefungwa tangu mwanzo tukajua moja; walichokifanya Leo hakika ni sawa NA kutunza bikira usichana wooote halafu unabakwa siku ya kwenda kufunga ndoa; hata ndoa yenyewe haina radha tena! simba mmezinguaaaaaaa!!!!!!!
Yaaani ni shiiiiiida Sisi Yanga tumepitia magumu kweli walitucheka sanaTufurahi tu kwa kweli sababu hatukunywa maji sisi huko nyuma.
Hahahaa. Hawezi ingia huko sababu leo lazima aogelee matani tena yale mazito mazito.Domo chafu ana raha saiv, hata insta sijui kama atafungua
Hahahaaaa. Leo zamu yao.Yaaani ni shiiiiiida Sisi Yanga tumepitia magumu kweli walitucheka sana
Mtani wangu umekuja. Lol.Hawa kagera wanatakiwa wachunguzwe, msimu uliopita pia wao ndio wslitunyima raha.
Pole Mtani.Kabisa, niwe mkweli, hata sijisikii kusheherekea, najaribu ila nashindwa.
Ndio hivyo best. Leo zamu yao.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aiseee
Timu kubwa hivo inakosa watu elfu 60 kuujaza uwanja kweli? Ama kweli mashabiki wa simba ni wa mitandaoni ty