Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Simba na rekodi zake kwa wakuu wa nchi;

1993
Wakicheza fainali ya CAF dhidi ya Stella Abdjan mbele ya mheshimiwa raisi wa Tanzania awamu ya pili mzee Mwinyi, Simba walifungwa 2-0.

2018

Simba wakicheza dhidi ya Kagera Sugar mbele ya raisi wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. John Magufuli , Simba wametoka kichwa chini kwa kufungwa 1-0 .
 
Dondoo muhimu:

Magufuli: Simba mmetukwaza sana leo mashabiki wa Simba.

Magufuli: mimi sina timu ni mshabiki wa Taifa stars.

Magufuli: kwa mpira huu Simba hamfiki popote kwenye kombe la Afrika.
 
Kama ilivokuwa na kagera sugar ndo hivo hivo lazima wafungwe mapema kombe la Africa

Huwezi kufanya figisu ukabaki salama

Majizi makubwa
 
Kuna timu bana kwa utibuaji zipo vizuri

Levante

Kagera sugar

My foot eti ubingwa bila kufungwa pyeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maana uongozi wote kuanzia rais wa nchi pombe na mpambe wake bashite , tff na vikaragosi vyao

Watajinyea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…