Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Tena zote mechi ya pili toka mwisho!
 
Kinachoendelea uwanjani kinanikumbusha nyimbo ya Lady Jaydee, nailazimisha furaha lakini moyoni nina majonzi.

Ndivyo ninavyomuona huyu mlemavu wa ngozi.
Yaani hamna mzuka kabisa, hata Manara anajilazimisha. Vijana wameboronga, wangefungwa mechi nyingine ya kabla ya hii.
 
*HILI PIA MSILISAHAU*

*SIMBA NDIO TIMU YA KWANZA KUFUNGWA MBELE YA RAIS WA NCHI*

*this is.....*
SIMBA NDIYO TIMU YA KWANZA KUFUNGWA NYUMBANI TANGU MFUNGO WA RAMADHANI UANZE*
*Breaking news*
*Kagera ndiyo timu ya kwanza kumfunga simba mbele ya RAIS WA NCHI (MAGUFULI) MBELE YA RAIS WA DAR (MAKONDA) MBELE YA RAIS WA SIMBA (MANARA) na simba ndiyo timu ya* *kwanza kukosa penalt mbele ya Rais JPM toka* *ameingia ikulu na Dododoma kutangazwa kuwa jiji.[emoji28][emoji28]*
 
*****....[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Unavyoniqoute qoute nakumbuka kuwa nakudai jamani ebu niache basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijifiche kwenye kivuli cha kunidai...poleni kwa kukalia leo
 
Hahaaa. Sitaki mie jamani. Lol
 
Simba imeshawahi kuchukua ubingwa bila kufungwa... ila huu mambo yamegoma
Vp yanga ana rekod ya bila kupoteza?
 
Haahahaahaa...

Mkome...

Mliwaza nini kulualika JIWE...

LIMEWAPONDAA....
 
Alosto za Makundi zitawaua..
Chagueni timu kombe la dunia mfute machozi yenu.. Yanga shirikisho mnapoteza muda.

Simba bingwa usisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…