Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena zote mechi ya pili toka mwisho!Kuna timu bana kwa utibuaji zipo vizuri
Levante
Kagera sugar
My foot eti ubingwa bila kufungwa pyeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo ni [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndio hivyo best. Leo zamu yao.
Yaani hamna mzuka kabisa, hata Manara anajilazimisha. Vijana wameboronga, wangefungwa mechi nyingine ya kabla ya hii.Kinachoendelea uwanjani kinanikumbusha nyimbo ya Lady Jaydee, nailazimisha furaha lakini moyoni nina majonzi.
Ndivyo ninavyomuona huyu mlemavu wa ngozi.
Tunaongelea ya Simba hapa sio Yanga mkuuYanga inaongoza goli ngapi muda huu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Nakuona Swahiba.
*****....[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]*HILI PIA MSILISAHAU*
*SIMBA NDIO TIMU YA KWANZA KUFUNGWA MBELE YA RAIS WA NCHI*
*this is.....*
SIMBA NDIYO TIMU YA KWANZA KUFUNGWA NYUMBANI TANGU MFUNGO WA RAMADHANI UANZE*
*Breaking news*
*Kagera ndiyo timu ya kwanza kumfunga simba mbele ya RAIS WA NCHI (MAGUFULI) MBELE YA RAIS WA DAR (MAKONDA) MBELE YA RAIS WA SIMBA (MANARA) na simba ndiyo timu ya* *kwanza kukosa penalt mbele ya Rais JPM toka* *ameingia ikulu na Dododoma kutangazwa kuwa jiji.[emoji28][emoji28]*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijifiche kwenye kivuli cha kunidai...poleni kwa kukalia leoUnavyoniqoute qoute nakumbuka kuwa nakudai jamani ebu niache basi
Hahaaa. Sitaki mie jamani. LolKuna timu bana kwa utibuaji zipo vizuri
Levante
Kagera sugar
My foot eti ubingwa bila kufungwa pyeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Simba imeshawahi kuchukua ubingwa bila kufungwa... ila huu mambo yamegomaKuna timu bana kwa utibuaji zipo vizuri
Levante
Kagera sugar
My foot eti ubingwa bila kufungwa pyeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wasukuma wanawachezesha alaji muda huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu Wewe unalialia na simba tuTunaongelea ya Simba hapa sio Yanga mkuu
Hahaaa. Nimecheka sana Mtani sababu sio kwa kuchomekea huko. LolAsante!
Yaani sina mzuka kabisa! Ila nasikia mpaka sasa Mwadui keshafanya yake, mmekuwa jamvi la kila mtu sasa si la wageni tu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijifiche kwenye kivuli cha kunidai...poleni kwa kukalia leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeanza lini kuwa mke wako mfyuuuuu
Kagera Sugar[emoji1]Timu gani ya tanzania iliwah kuujaza uwanja wa taifa
Woooiii hiyo hainiondoi kwenye reli ya furaha ya Simba kufungwaWasukuma wanawachezesha alaji muda huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu Wewe unalialia na simba tu
Alosto za Makundi zitawaua..*HILI PIA MSILISAHAU*