Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Yanga huko Shinyanga, leo inafungwa mechi ya tano, ndani ya ligi hii.
 
Hahaaaa. Kupokea kombe kwa machungu.

Hatari sana aiseeeee.
Hakuna mechi hawajanunua hao....

Fitna tupuu...

Masaliti mengine yapo huku yanga,yalichukua hela kuvuruga timu..
 
Dondoo muhimu:

Magufuli: Simba mmetukwaza sana leo mashabiki wa Simba.

Magufuli: mimi sina timu ni mshabiki wa Taifa stars.

Magufuli: kwa mpira huu Simba hamfiki popote kwenye kombe la Afrika.
Hivi waliwaza nini kumualika jiwe..!!!??!!!?

Natafakari nakosa majibu.
 
32908648_1006584309498854_5162618357001748480_n.jpg
 
Back
Top Bottom