Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mechi hawajanunua hao....Hahaaaa. Kupokea kombe kwa machungu.
Hatari sana aiseeeee.
Hahaaaa. Kabisaaaaaaa.Mambo ni [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kama isivyo iyondoa Yanga kwenye uteja...[emoji13] [emoji13] [emoji13] Yanga pombe ya ngomani tu kila mtu anajipimiaWoooiii hiyo hainiondoi kwenye reli ya furaha ya Simba kufungwa
Sawa [emoji81] [emoji81]Kama isivyo iyondoa Yanga kwenye uteja...[emoji13] [emoji13] [emoji13] Yanga pombe ya ngomani tu kila mtu anajipimia
Ila umeniwahi Kaka. Wakafungue Uzi huko tuje tuchangia habari za Yanga.Tunaongelea ya Simba hapa sio Yanga mkuu
Hivi waliwaza nini kumualika jiwe..!!!??!!!?Dondoo muhimu:
Magufuli: Simba mmetukwaza sana leo mashabiki wa Simba.
Magufuli: mimi sina timu ni mshabiki wa Taifa stars.
Magufuli: kwa mpira huu Simba hamfiki popote kwenye kombe la Afrika.
Naona wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa na mwadui eti hata hainogi wangejua tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila umeniwahi Kaka. Wakafungue Uzi huko tuje tuchangia habari za Yanga.
Hapa ni Simba kutibua rekodi bhaas.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanajangwani hoyeeeSawa [emoji81] [emoji81]
Hahaaa. Wanajitahidi kukila ila kinawashinda lol.Swahiba leo jamaa wamewekewa mchanga kwenye chakula
Yanga naskia wanaongozaHahaaa. Wanajitahidi kukila ila kinawashinda lol.
Swahiba nimemuona Manara anavyojifariji. Hahaaaa.
Wape wape wapeeeeee. Kakaaa.Woooiii hiyo hainiondoi kwenye reli ya furaha ya Simba kufungwa
Hoyeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanajangwani hoyeee
Hahaaaa. Nawashangaa Ujue.Naona wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa na mwadui eti hata hainogi wangejua tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]