Maneno kama haya siyo mazuri kwa kipindi kama hiki wakati umoja wa kitaifa katika michezo hususani timu ya Taifa unahitajika. Unaweza kuamsha hisia za watu na kuturudisha nyuma kuanza kuhesabu wachezaji wa timu flani ni wangapi wamecheza na je wa timu ile nyingine ni wangapi wamecheza au kuitwa timu ya Taifa.
Haya sasa kwa heshima na taadhima kaka JosephKoomson njoo unipongeze hapa bila kusahau kuchagua adhabu yako maana nimeuchoka ubishi wako.
Lazima unikubali tu hata kama ni kimyakimya.