Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Labda ndie mchezaji pekee anaestahili kuichezea Taifa Starz kwa sasa, ila wengine watasubiri sana.

Maneno kama haya siyo mazuri kwa kipindi kama hiki wakati umoja wa kitaifa katika michezo hususani timu ya Taifa unahitajika. Unaweza kuamsha hisia za watu na kuturudisha nyuma kuanza kuhesabu wachezaji wa timu flani ni wangapi wamecheza na je wa timu ile nyingine ni wangapi wamecheza au kuitwa timu ya Taifa.
 
Haya sasa kwa heshima na taadhima kaka JosephKoomson njoo unipongeze hapa bila kusahau kuchagua adhabu yako maana nimeuchoka ubishi wako.
Lazima unikubali tu hata kama ni kimyakimya.

Hamna kitu hapo, so unanitaka nishangilie draw, tena ya nyumbani? sithubutu hata siku moja
 
Back
Top Bottom