Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Mimi ni mzalendo Ila leo lazima tuchezee kichapo... Kama hata Burundi tunawashindwa tutawaweza Nigeria.
 
Buku Saba kingilio cha kushuhudia mechi au kingilio cha kushuhudia kichapo. Nye nye nye fimbo inachapa tu.
 
ok can you write English? Thanks

Historia peleka vyuoni, uwanjani ubabe wa timu huonekana baada ya dakika 90.
Taifa Stars 3-1 Nigeria

Take history to universities, stadium authoritarianism of team appear after ninety Minutes. National Stars 3 - 1 Nigeria 1.

As requested 😀😀😀😀😀😀😀
 
TFF hivyo viingilio vya mpirani kati ya taifa stars vs nigeria nendeni mkaangalie wenyewe
 
TFF hivyo viingilio vya mpirani kati ya taifa stars vs nigeria nendeni mkaangalie wenyewe

Atleast ingekuwa ni game ya kushinda sawa. Gemu lenyewe tushapoteza nje ya uwanja then viingilio wanaweka vikubwa. Hawajielewi hawa TifuTifu
 
Mkuu.natoka taifa kuna uwezekano wa.kupata bao 2..ila washindi.nigeria .na utb wangu 4-2.3-2 kazi imeisha mkwasaa oyeeee
 
dah! nimeota eti tumepigwa 2-1,sijui nikwel mungu aepushe mbali,,,,,stars tupen raha ya ushindi leo

Mungu aepushe mbali au Mungu ndo atusaidie tupigwe hizo 2_1 maana pasipo Mungu tunachukua hata 4 Taifa.
 
Hapa ndipo wa tz huwa tunadanganyana, hivi kweli tz tumfunge Nigeria eti kwakuwa tu tumempa kocha mzalendo timu?!!!! tunachekesha kweli. tuwe wakweli tu hatuna uwezo huo kwa sasa.

Huku kufarijiana ndiko kubaya, wachezaji hawafanyi mazoezi kisa wanategemea waganga, harafu ndo uje kujilinganisha na watu ambao wako serious ktk mpira.
 
Record ya Taifa Stars vs Nigeria
1972 - Taifa stars 0 Nageria 0
1975- Taifa stars 1 Nigeria 2
1980 - Taifa Stars 1 Nigeria 3
1980 - Taifa Stars 1 Nigeria 1
1980 -Taifa Stars 0 Nigeria 2
2002 - Taifa stars 0 Nigeria 2
2015- Taifa stars. ? Nigeria ?
 
utakuwa ule msako ulikukosa, yaani huna huruma hata kidogo na TZ.

Kuionea huruma taifa stars kwa sasa ni sawa na kukubaliana na madudu ya TFF. wewe mwenyewe tumia akili ya kuzaliwa hivi kwa mechi leo ni sapoti kiasi gani ambayo team yetu inahitaji?
Ukiangalia mechi ya kwanza tulilala. Hii ndio mechi ambayo team ilihitaji mashabiki wengi uwanjani kuwatia moyo kutokana na upumbavu wao. Sasa kwa kiingilio cha 40,000 na 7000 unafikiri kuna mtu ataenda hapo, hata kama wakienda basi watakuwa wachache.

NIGERIA LEO INATAKIWA IIPIGE HIYO MICHIZI GOLI ZAIDI YA MIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…