goChilongan
Member
- Jun 29, 2015
- 13
- 3
Tuwe na uzalebdo labda Mungu atakuwa upende wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Danny greeny....pls jaribu kuwa mstaarabu.
Hata kama umekasirika na hiyo comment ya ndugu yangu kuja kwangu ungemuambia kistaarabu tu.
Sio poa hivyo.
Haaa
Haaa
Haaa
Dada, usije kunikimbia tu
Tusubiri muda utatupa matokeo mazuri.
Nakuambia utabiri wangu unaenda kutimia bila shaka.
Tatizo tumewachoka mnatukata stimu. Humu mpira tuu mengine pelekeni majukwaa husika
Tumezoea kufungwa, twende tukamuombe radhi Mzee ruksa
Thubutuuuu! Hii game hatufungwi, halafu unavyozidi kubisha unanitia hasira ujue?
Wallah ikiwa kama ilivyokuwa lazima nikupige faini ukome ubishi wako.
Hatutoki humu leo