Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Wamuingize deus kaseke afanye mambo pale katikati cjaona midfielder zinazoamsha mashambulizi
 
Mechi ngumu haitabiriki ila mimi naona kama asiposhinda taifa stars au nigeria basi ni droo

Hata mimi kwa mtazamo wangu naona mechi itachezeshwa na refa pale kati. Halafu naona lazima kutakuwa na wachezaji wa Taifa Stars na wa Super Eagles. Na kule majukwaani kutakuwa na watazamaji.
 
Bongo domo kubwa hatuwezi hata kurusha matangazo online. Hapa naangalia mechi Rwanda vs Ghana online sisi tunabaki kuongea tuna hiki na tuna kile lakini hatuna la maana linalofanyika karne 21.
Ngoja nicheki na January makamba anaweza akarekebisha si unakumbuka kutangaza nia ilikuwaje?
 
Bongo domo kubwa hatuwezi hata kurusha matangazo online. Hapa naangalia mechi Rwanda vs Ghana online sisi tunabaki kuongea tuna hiki na tuna kile lakini hatuna la maana linalofanyika karne 21.
Tehteh kweli Sikiliza tunein kupita tbc radio au apps ya simu.tv wanaonyesha live.
 
Thomas Ulimwengu katuangusha Watanzania.Hatujapata nafasi kama ile...
Daaaah
 
Haa Nigeria watanichania mkeka wangu. Mpaka sasa hawajapata goal! Afu niliwapa cap.
 
Mh.January Makamba Anunua Tiketi Zote Zilizobakia Hvo Kipindi Cha Pili Watu Wanaingia Bure
 
Mmetengewa kule kuna Jukwaa la Katiba, Jukwaa la siasa na Jukwaa la Uchaguzi mkuu. Hizi habari zako peleka huko usituletee uwendawazimu humu

Wewe Ni kenge kwenye msafara WA namba! Sidhani kama unajua Olimpiki Ni nini na historia yake.

Siasa zisiingilie mambo ya kitaalamu, kama kukuza michezo nk..
 
Apdat Ya Picha Upand Wa Jukwaa Ama Hat Ka Picha Hap Uwanjan
Chagaland,nifah
M Nko Kwenye Safar Na Jez Langu La Taifa Starz
 
Back
Top Bottom