Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kaka Danny greeny....pls jaribu kuwa mstaarabu.
Hata kama umekasirika na hiyo comment ya ndugu yangu kuja kwangu ungemuambia kistaarabu tu.
Sio poa hivyo.

Tatizo tumewachoka mnatukata stimu. Humu mpira tuu mengine pelekeni majukwaa husika
 
Last edited by a moderator:
Tukitulia tunashinda hii gemu. Nigeria hawako kiushindani zaidi nahisi wameridhika hata kupata draw.

Kule rwanda, ghana utafikiri sio wao wameshikwa balaa.
 
Thubutuuuu! Hii game hatufungwi, halafu unavyozidi kubisha unanitia hasira ujue?
Wallah ikiwa kama ilivyokuwa lazima nikupige faini ukome ubishi wako.

Hatutoki humu leo
 
timu zinaingia uwanjani na muda wowote kipindi cha pili kinaenda kuanza.VIVA UKAWA!
 
Matokeo ya mechi za leo. Mpaka half time.

Commoro 0 - Uganda 1

Rwanda 0 - Ghana 0

South sudan 0 - Guinea 0

Shelisheli 1 - Ethiopia 1

Burundi 1 - Niger 0

Namibia 0 - Senegal 1

Botswana 0 - Burkina Fasso 0
 
Nigeria wamerudi kwa kasi ya ajabu. Hapa dalili za kufungwa zishaanza kuonekana
 
Nigeria wamerudi na Kasi hawa watangazaji wa TBC unaweza kuwawekea mute hawa wa TV Bora wa Radio ya tbc ndio wangekuwa kwenye TV.
 
Bongo domo kubwa hatuwezi hata kurusha matangazo online. Hapa naangalia mechi Rwanda vs Ghana online sisi tunabaki kuongea tuna hiki na tuna kile lakini hatuna la maana linalofanyika karne 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…