g da sparta
Member
- Aug 12, 2015
- 91
- 21
Mechi ngumu haitabiriki ila mimi naona kama asiposhinda taifa stars au nigeria basi ni droo
Ngoja nicheki na January makamba anaweza akarekebisha si unakumbuka kutangaza nia ilikuwaje?Bongo domo kubwa hatuwezi hata kurusha matangazo online. Hapa naangalia mechi Rwanda vs Ghana online sisi tunabaki kuongea tuna hiki na tuna kile lakini hatuna la maana linalofanyika karne 21.
Hata mimi kwa mtazamo wangu naona mechi itachezeshwa na refa pale kati. Halafu naona lazima kutakuwa na wachezaji wa Taifa Stars na wa Super Eagles. Na kule majukwaani kutakuwa na watazamaji.
Tehteh kweli Sikiliza tunein kupita tbc radio au apps ya simu.tv wanaonyesha live.Bongo domo kubwa hatuwezi hata kurusha matangazo online. Hapa naangalia mechi Rwanda vs Ghana online sisi tunabaki kuongea tuna hiki na tuna kile lakini hatuna la maana linalofanyika karne 21.
Sasa ndio umeandika nini?!
Mmetengewa kule kuna Jukwaa la Katiba, Jukwaa la siasa na Jukwaa la Uchaguzi mkuu. Hizi habari zako peleka huko usituletee uwendawazimu humu